Mheshimiwa Rais naomba usinichoke: Kifo cha Waziri Dhahiri wilayani Mwanga kimenistua!

"...kama ambavyo mtu anaweza kufa akiwa ndani ya basi, bafuni au uwanjani ndivyo hivyo mtuhumiwa anaweza kufia polisi..." Mh. Kangi Lugola (MB)
Mimi nasema post mortem ndiyo inaweza kuthibitisha mtu kafa kwa "ngiri", pneumonia au kupasuka bandama.
 
haya ndio matatizo ya kumtemea mtu ,mtegemeeni mungu , ukiomba kwa usahihi ,kila aneua na yeye atakufa, ndio hukumu ya mungu
Magufuli mwenyewe anajua kuwa Hakuna cha mungu wala shetani zaidi ya hekaya tu! Ndiyo maana wakati nyie mnajikunyata kusali alaaniwe yeye anacheka tu! Halafu anamwambia Kamanda Muroto hebu watandike kama Mbwa koko hawa wapumbavu!!
 
Ushahidi tosha kumbe wanaoua watu ni polisi na wale wasiowachukulia hatua itakuwa ndio wanaowatuma .
 
Back
Top Bottom