KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Kwa hiyo watakuwa wa bunge wakuteuliwa au Rais ndiye atakaye wapigia kura?.wakina lema, mnyika, sugu, wameshaona mwakani hawarudi bungeni, wanachofanya ni kumpigia magoti Magufuli awaonee huruma na kuwaachia ubunge wao, chadema wanataka maridhiano kwa maslahi yao binafsi