Mheshimiwa Rais mkono wa CHADEMA umenyooshwa kwa maridhiano, mpira uko kwako

Umoja Ni Nguvu, Vyama Vya Siasa Vyote Vinahitaji Kufanya Maridhiano Maana Kila Mmoja Anahitaji Mwenzake
Hatupendi Mambo Yafikie Kama Yale Ya Zanzibar

Siasa Ikaharibu Undugu Wetu Tukawa Maadui Yaani Ccm Hawezi Kwenda Kumuona Mwanachama Wa Cuf
Watu Hawazikani, Hawasalimiani
 
Hebu toa elimu kidogo.
Rais akiukataa mwito huu wa maridhiano mtamfanya nn? Au serikali yake itaathirika vipi? Mbona amewadhulumu ktk uchaguzi wa serikali za mitaa mchana kweupe na hakuna chochote mlichomfanya?

Nchi nyingine vyama vya upinzani huwa vinajivunia mwamko wa wananchi. Kwamba upinzani ukilalamika tu wananchi wanaliamsha dude. Hapa kwetu wananchi ni maiti, upinzani unajivunia nn?

Hebu tuambie Rais akigomea maridhiano kuna madhara gani kwenye taifa hili la wananchi maiti na mbumbumbu?
Acha kututukana Wananchi wa Tanzania, tafadhali.
Historia ya nchi hii imejawa na mashujaa wa vuguvugu la kuupinga ukoloni tena kwa silaha. "Maji Maji" ni mfano wa Watanzania kujitoa muhanga kupinga manyanyaso dhidi ya Uhuru wao. Pamoja na silaha hafifu bado Mjerumani alishika adabu. Ilibidi aombe "reinforcement" kutoka kwao I'll kudhibiti hali. Unadhani Wajerumani walikuwa hawaleti maendeleo!!!? Mbona walijenga standard gauge ya wakati huo kutoka Dar es Salaam hadi
Kigoma na Mwanza!?
Ninachofahamu ni kuwa pamoja na uvumilivu wa Watanzania, wasichukuliwe kama mbumbumbu na watawala au mtu mwingine yeyote.
 
Hebu rudia tena kusoma nilichoandika. Kuna swali moja tu la msingi nililouliza hujalitolea majibu kabisa. Japo maandishi yako ni mengine mno, lkn hujajibu swali langu moja tu
 
Mkiwa wastaarabu kama Hivi Rais atawasikiliza

Sasa kipindi kile mnamuita Rais mshamba,dikteta unadhani angewasikiliza?

tena Wabunge ndio walikuwa wanatamka haya maneno bora hata ingekuwa Wananchi wa kawaida
We kama ni mshamba,mshamba tu, hata ungeitwa mstaarabu haitaondoa ushamba wako. Kujirekebisha ndio njia pekee ya kutoa ushamba wako. Akivuka kamtego haka kheri yake, vinginevyo katawaongeza point wapinzani hapo mbeleni. Take my word
 
Mm siungi mkono mtindo huu wa kuyataka maridhiano kwa kumbembeleza mtu. Ilipaswa ashinikizwe. Anabembelezwa???

Sasa kwa ataudharau upinzani mpk basi. Hivi mnajua semina ya kuukandamiza upinzani kaitoa wapi? Angalia misimamo ya hao waliompa semina, wana viburi hatari.
Pale kawekewa mtego, mashahidi ni Watanzania akipuuza, tutakumbushwa wakati muafaka ukifika kuwa aliombwa akapuuzia.
 
Umoja Ni Nguvu, Vyama Vya Siasa Vyote Vinahitaji Kufanya Maridhiano Maana Kila Mmoja Anahitaji Mwenzake
Hatupendi Mambo Yafikie Kama Yale Ya Zanzibar

Siasa Ikaharibu Undugu Wetu Tukawa Maadui Yaani Ccm Hawezi Kwenda Kumuona Mwanachama Wa Cuf
Watu Hawazikani, Hawasalimiani
Alichofanya Mhe. Mbowe jana ni jambo jema kabisa. Sisi sote tunaishi chini ya dari moja, Tanzania. Mmoja akiamua kujimwambafy Ni muhimu tumwambie kuwa: "Hatuutaki ubabe. Tunataka maelewano ili kila mmoja wetu aishi kwa furaha katika Nyumba hii." Iwapo mbabe atakaidi, hatutakuwa na namna isipokuwa kutumia njia zitakazomfanya atambue kuwa hatuupendi ubabe. Ikifika hapo
Watanzania na Dunia watajua kuwa wapinzani wa Tanzania walikuwa wastaarabu vya kutosha.
Nimemwona Zitto akipuuza ya Mbowe uwanjani, hiyo si sawa. Mhe. Zitto afahamu kuwa huu si wakati wa kuchochea kuni kwenye moto wa mabua.
 
Hebu rudia tena kusoma nilichoandika. Kuna swali moja tu la msingi nililouliza hujalitolea majibu kabisa. Japo maandishi yako ni mengine mno, lkn hujajibu swali langu moja tu
Soma vizuri majibu yangu katikati ya mistari. Nimaanishacho Ni kuwa kwa uvumilivu wetu huwa tuna tabia ya kujenga matumaini zaidi kwa watawala kuliko wapinzani hadi pale mambo yanapotuharibkia. Sasa huo udhaifu wetu usichukuliwe kama ni upumbavu. La hasha. Unaweza ukawa ni ujinga lakini si upumbavu hata kidogo.
 
Raisi ana masikio na macho mengi naamini kasikia na analifanyia kazi, tulieni msianze matusi yenu mtaharibu mapema issue ya le chairman Mbowe
 
Raisi ana masikio na macho mengi naamini kasikia na analifanyia kazi, tulieni msianze matusi yenu mtaharibu mapema issue ya le chairman Mbowe
Vizuri, huenda na wewe ni moja ya masikio yake, hebu mfikishie ujumbe huu wenye msisitizo wa ombi la Mhe. Mbowe
 
Wewe sio mjinga, ni mpumbavu
Alichotakiwa kusema Ni kuomba msamaha kwa walichokosea sio kuomba maridhiano!!! Hilo neno la maridhiano sio neno sahihi kwa mitusi walivyokuwa wakimvurumishia na kumadharau kila analo fanya.

Mtu ukimkosea mtu omba msamaha usitumie lugha za kilaghai laghai ohh tuwe na maridhiano bla bla bla.Umekosea omba msamaha iwe umekosea mkeo,mumeio Raisi or whoever.Huo mkono uliionyooshwa wa Mbowe wa hila na ulaghai mtupu
 
Vizuri, huenda na wewe ni moja ya masikio yake, hebu mfikishie ujumbe huu wenye msisitizo wa ombi la Mhe. Mbowe
Mbowe angeomba msamaha angeeleweka zaidi kuliko Hilo neno lake Koko la kuomba maridhiano!!!! Mtu ukimkosea usiende kwake na maneno ya mafumbo ohh maridhiano bull shit go straight repent your sins to him ask for forgiveness

Akusamehe kwanza ndio ukinyooshe kimkono Chako kuwa muanze ukurasa mpya
 
Mh. Rais JPM, huna sababu yoyote ya kufanya maridhiano na mtu yeyote. Nchi iko vizuri na tuanasonga mbele vizuri sana na sisi wananchi tupo pamoja nawe. Achana na wasanii wa kisiasa. Waambie kama wanataka fedha wakafanye kazi na si kupiga domo. Watu tanataka maendeleo kwa kuchapa kazi na si kwa kuiba fedha za wananchi kama vile ruzuku.
 
mleta mada 6000,000 ni laki sita??
Sorry, Ni 600,000, Asante.
Fikiria wote hao wamenyimwa nafasi ya kuchaguliwa kwa kupigiwa kura na Wananchi wa maeneo yao. Chukulia kuwa iwapo kila mmoja angepata kura 20 tu je, ni Wananchi wangapi wamenyimwa haki yao kuchagua!!!?
 
Pale kawekewa mtego, mashahidi ni Watanzania akipuuza, tutakumbushwa wakati muafaka ukifika kuwa aliombwa akapuuzia.
maridhiano ndio Nini? Chadema walimkosea Sana na kumpuuza Sana Magufuli Leo unakuja ohhh nataka maridhiano!!! Omba msamaha kwanza usanehewe ndipo hizo porojo zako Koko zifuate.Hata Afrika kusini na Rwanda watu walianza kuungama dhambi zao kwanza ndipo yakaja maswala ya maridhiano

Mbowe anaibuka tu anataka maridhiano what about your sins that you committed against Magufuli ? Repent first
 
Sorry, Ni 600,000, Asante.
Fikiria wote hao wamenyimwa nafasi ya kuchaguliwa kwa kupigiwa kura na Wananchi wa maeneo yao. Chukulia kuwa iwapo kila mmoja angepata kura 20 tu je, ni Wananchi wangapi wamenyimwa haki yao kuchagua!!!?
Wamenyimwa na nani mkuu? Kama chama chao ndio kimewanyima hiyo fursa si wauondoe uongozi?
 
Back
Top Bottom