Mheshimiwa Rais, Makonda sio mbadala Wa CCM Dar es Salaam, mkumbushe kazi zake

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Mkuu Wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Makonda amejigeuza yeye ndie kila kitu Dar es Salaam, sasa Kwa umimi anao uleta Wa KICCM? Utampotezea muda, maana CCM Dar es Salaam haipo, yeye anajitahidi kuleta umimi aonekane anafanya kazi kuibeba CCM Dar lakini Kwa Ukuu Wa mkoa haukufanyi kuirejesha CCM Dar. Kaa na viongozi wenzio mpange, mjue mnawahudumia vipi wananchi, wewe kama mkuu wa mkoa huna nguvu yoyote kiutendaji, huo ndio ukweli wenyewe, CCM Dar itakuharibia kazi, achana nayo.
 
Kwani ni kweli haijui job description yake? Si akaiombe kwa simbachawene ampe job manual! Ccm kwa miji yote ya nchi hii ni kama haipo na haina uhai hivyo kuhangaika kuifufua kutakupotezea ama muda au kazi na heshima. Lakini mwacheni ajipime huenda akafeli yote. Asisahau kuwa Dar siyo bunge la katiba ni zaidi ya hilo. Hapa utaliwa na kuachwa.
 
Katika vitu ambavyo ccm wanavikosea ni huu mfano wa makonda, ccm inatakiwa iwahudumie wananchi mpaka wananchi warudishe imani na ccm kuwa imejirekebisha, na sio hizi siasa uchwara unamtangazia mtu uzuri wa ccm wakati maisha yake kila siku yanakuwa mabovu atakuelewa vipi?, ccm wawape watz maisha bora waone kama watasumbuka kupiga push up majukwaani
 
Mkuu Wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Makonda amejigeuza yeye ndie kila kitu Dar es Salaam, sasa Kwa umimi anao uleta Wa KICCM? Utampotezea muda, maana CCM Dar es Salaam haipo, yeye anajitahidi kuleta umimi aonekane anafanya kazi kuibeba CCM Dar lakini Kwa Ukuu Wa mkoa haukufanyi kuirejesha CCM Dar. Kaa na viongozi wenzio mpange, mjue mnawahudumia vipi wananchi, wewe kama mkuu wa mkoa huna nguvu yoyote kiutendaji, huo ndio ukweli wenyewe, CCM Dar itakuharibia kazi, achana nayo
Na atawachanganya sana nyumbu nyie,naona mshaanza kubagawa kwa kazi anazopiga hapa dar RC Makonda. Mkuu RC piga kazi tayari wameshaanza kuchanganikiwa.
 
Na atawachanganya sana nyumbu nyie,naona mshaanza kubagawa kwa kazi anazopiga hapa dar RC Makonda. Mkuu RC piga kazi tayari wameshaanza kuchanganikiwa.
Sasa matusi ya nini? Ongeeni maswala ya kuisaidia Dar es Salaam sio matusi, kama wewe ni CCM sikushangai maana ninyi mnajulikana
 
Na atawachanganya sana nyumbu nyie,naona mshaanza kubagawa kwa kazi anazopiga hapa dar RC Makonda. Mkuu RC piga kazi tayari wameshaanza kuchanganikiwa.
Tulia uandike vizuri kubagawa ndio nini?
Hivi ile gari aliyoahidi ameitoa???
 
Na atawachanganya sana nyumbu nyie,naona mshaanza kubagawa kwa kazi anazopiga hapa dar RC Makonda. Mkuu RC piga kazi tayari wameshaanza kuchanganikiwa.

saudina,
Mtu anayemfagilia Makonda namchukulia na yeye ni chizi kama Makonda menyewe! Hivi mtu aliyempiga baba yake mzazi na kuachiwa LAANA unafikiri anaweza kufanya kitu cha maana?Never!
Kama unataka kupata maana halisi ya jina "MAKONDA" jaribu kuondoa A na O na badala yake uweke 'U' na isomeke 'MUKU.....!!!!!ndiyo maana hasa ya huyu RC wa Dar.
 
Na atawachanganya sana nyumbu nyie,naona mshaanza kubagawa kwa kazi anazopiga hapa dar RC Makonda. Mkuu RC piga kazi tayari wameshaanza kuchanganikiwa.

kazi za kupanda miti utakuwa umechelewa kuja dar kuna wakwezi wanakwea minazi zaid yake kwa siku wanakwea minaz 50 sasa yeye anapanda miti mnaita kazi!!!!
 
Serikali iliyopo madarakani inatekeleza Sera zza ccm,Huo ndio ukweli,kwa hiyo ili waweze kufanikio ni lazima cha tawala washirikiane ma serikali,ili ikifika 2020,wakati rais Magufuli atakapoomba ridhaa ya watanzania kwa Mara ya mwisho,aeleze mafanikio aliyoyapata na mini watarajie.Kwa vile rais peke yake hawezi,basis hapi ndipo collective responsibility inapochukuwa mkondo wake kwa kila MTU kuwajibika.So anachofanya Mkuu wa mkoa Makonda ni Kubanikisha ahadi za ccm kwa umma.
Nikirudi kwenye mada yako,ni mini ambacho amekifanya nje ya kazi yake kama mkuu wa mkoa?
Ccm kama ccm hawana resources za kuwafanyia wananchi maendeleo,zaidi ya kuikumbusha serikali mini inatakiwa kufanya.
 
Back
Top Bottom