Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Huyu ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa African Media Group inayomiliki vituo vya Chanel 10, Magic Fm, CTN na DTV. Namsikilizaga sana kwenye kipindi cha Morning Magic cha Magic Fm, huyu mzee ni mjuzi wa mambo na mwerevu kweli kweli. Anaonekana pia kuufahamu vizuri muundo wa Serikali na kazi zake. Mheshimiwa Rais ebu mpe Wilaya huyu Bwana ilo autumie weredi wake na ujuzi wake kwa maendeleo ya Taifa.