Mheshimiwa Rais Magufuli Mei mosi hatutaki kusikia haya...

Shida sio Maguful,shda iko kwa wafanyaz wenyewe,kwa wafanyakaz hasa walimu tena wa primary watishwa na kwenda uwanjan na mabango ya kumsif jiwe so ye2 atapata pa kusemea hata kama hakutaka kusema,time will tell tomorrow,hakika wafanyakaz asilimia kubwa n wapumbav hasa wanawake wao kila jambo liwe zur au baya wao n kupga makof moyon wakinung'unika,walimu watakuwa vnara kesho kubeba hayo mabango ya kumsifia jiwe.
Ngoja tuwashuhudie leo
 
Hakuna Wazir Lofa kama JENISTA,huyu mwanamke kaz ya n kutetea ugal wake 2 na amesahau kama alikuwa mwl na sasa kawageuka fut mia mbil kisha ye2 kashba,hakuna kitu alinitisha na suala la kikokotoo nashangaa mpaka leo h yu wazr ndo ninapoamin kuwa awam h n mabngwa wa kutengeneza tatizo il kupgia kampen
Umeeleweka, ila jaribu kuandika vizuri huku kuna watu tofauti.
 
Hivi kwa uwanja kujaa, akileta story zake za ajabu zikapokewa na kuzomea itakuwaje?
Au kwa jinsi nimjuavyo ikiwa hakuna kumshangilia mwanzo mwisho nayo itakuaje?
Asiposhangiliwa au akizomewa ana dharau sana, anaweza kuondoka na kudai haongezi mshahara ktk utawala wake wote.
 
Yuko mbeya, amepumzika kutokana na safari ya kyela, Nadhani mida hii atakuwa anaperuzi peruzi jamiiforum na social media zingine. Bila shaka ataukuta ujumbe huu, na rais wetu ni msikivu sana naamini kesho hatoyasema hayo.
Itapendeza
 
Atatokea mama anapiga ukunga kua kaachishwa kazi na hajapewa kiinua mgongo!! Ataitwa mkurugez wa NSSF Ataambiwa amlipa haraka na wote wanaodai!!
Hapo nxhezo umeisha na maskini ya Mungu kumbe mama ni Usalama anacheza movie tuu
 
"Tunandege tisa na nyingine zinakuja, tunajenga standard gauge kwa pesa zetu, bwawa la stigra linakamilishwa kwa pesa zetu, tunajenga mabarabara nchi nzima kwa kiwango cha rami. Yale majizi yatafute kwa kukimbilia na wanaosema vyuma vimekaza ni mafisadi". [Walimu hapo utasikia pwa pwa pwa pwa pwa pwa pwa wakishangilia, huku midomo imewakauka kwa kiu na njaa]
 
Attachments

  • Hotuba ya Mwalimu Julius Nyerere Mei Mosi kuhusu kuongeza mishahara ya wafanyakazi.mp3
    7.4 MB · Views: 7
Shida sio Maguful,shda iko kwa wafanyaz wenyewe,kwa wafanyakaz hasa walimu tena wa primary watishwa na kwenda uwanjan na mabango ya kumsif jiwe so ye2 atapata pa kusemea hata kama hakutaka kusema,time will tell tomorrow,hakika wafanyakaz asilimia kubwa n wapumbav hasa wanawake wao kila jambo liwe zur au baya wao n kupga makof moyon wakinung'unika,walimu watakuwa vnara kesho kubeba hayo mabango ya kumsifia jiwe.
Vyama vya wafanyakazi wa nchi hii ni tatizo hasa viongozi,viongozi wa ivi vyama wana maisha mazuri kuliko wana chama wao kuwa wako kwenye payroll kila mwezi.
Ungekuwa Kenya Leo mabango yangesomeka tofauti,lakini Tz wakitishwa kuwa nitatengua viono,wanafyata mikia
 
kama kuna mtumishi anaetegemea manufaa kwa utawala huu eidha ni mgonjwa na kama si hivyo basi apelekwe milembe au atakuwa msukule aliyekwisha katwa ulimi
 
kama kuna mtumishi anaetegemea manufaa kwa utawala huu eidha ni mgonjwa na kama si hivyo basi apelekwe milembe au atakuwa msukule aliyekwisha katwa ulimi
 
Back
Top Bottom