Mheshimiwa rais maamuzi magumu yaliyo rahisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa rais maamuzi magumu yaliyo rahisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Jun 10, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Watanzania wamekupa cheo cha juu na heshima kuliko vyote hapa tanzania.lengo na matarajio ni uongozi na utawala bora.kama wewe hushiriki unayoyakanusha je uoga ni wa nini basi?wewe kama kiongozi ambaye ndio muhimili wa taifa iweje leo hurudishi asante kwa kura zao?asante wanayotegemea kutoka kwako ni chapa kazi yenye tija.kama mtu anaibia wewe unamwambia rudisha mapema utasamehewa wakati tayari huyo mtu ni mwizi tutakuelewaje?kama mtu analeta kampuni ya kitapeli na anajulikana wewe kama mkuu unasema humjui je watanzania wakueleweje?kama umeme na mafuta ndio kero kubwa kwa wananchi kwanini sekta ya madini isiwe suluhisho la tatizo hili,mbona wenye mafuta nchi zao kama zinasimamiwa vizuri kero kama hizi hakuna.kwanini tusiungane na msumbiji au afrika kusini tukapata umeme wa uhakika ,kama ambavyo zanzibar wanapata kutoka bara?au nyaya za umeme zitakuwa ndefu sana zitasumbua ndege kuruka?simamia rasilimali na chukua maamuzi bila kujali mtu ili mradi huvunji sheria mtukufu raisi wetu karibu tanzania
   
 2. L

  Luiz JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MwanaJF mwenzangu sio kwamba hana mamuzi mazito huyu mtukufu wetu ila uswahiba ndio unaomtafuna pindi anangia madarakani mimi niliamini amekuja kuikomboa Tanzania tumaini langu kwa huyu mtukufu lilipotea pale alipowambia wezi EPA kwamba warudishe haraka la sivyo atawachukulia sheria toka cjamwamini tena huyu mtukufu.
   
 3. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tatizo anataka kumfurahisha kila mtu kwa wakati mmoja; mwizi anamtazama kwa kutomkamata, tapeli wa kampuni hewa anamchekea, muuza madawa ya kulevya anayafunga majina kabatini lakini wenyewe wako huru, wananchi wanapewa ahadi hewa na wazembe anawapa semina elekezi kila wakati!

  Mtokeo yake mgonjwa wa goti anapasuliwa kichwa! Like father like son siku zinasonga!
   
 4. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hamkumbuki aliwatolea mfano wa mbayuwayu? Mkiutafakari kwa kina mtaelewa kwanini yuko hivi
   
 5. t

  tarita Senior Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "kitulacho watanzania ki nguoni mwetu"
   
Loading...