JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Pole kwa Majukumu Mheshimiwa Rais!
Watani Wangu Wanyakyusa husema KYALA MFYELE. Yaani (naamini sijakosea tafsiri) Mungu amefanana na Mama mwenye watoto (wengi) huku kila mmoja akifanya lake. Hebu fikiria uwe ni Mama wa watoto kumi na kila mmoja anasumbua. Kisha fikiria maovu tunayofanya sisi binadamu kama Mungu angekuwa anatuadhibu kila siku na kwa kila kosa sijui ingekuwaje? Sijui kama Tanzania hii ingekuwepo.
Kuna watanzania zaidi ya milioni 40. Kila mmoja na akili yake. Wengine wanafanya mambo ya ajabu, mengine yanaudhi yanapaswa kukemewa ama adhabu kali, lakini mengine inabidi ucheke tu.
Nenda kaangalie Twitter Account ya Trump wanavyomdhihaki na kumtania!!! Tanua kifua baba.
Ukitaka uwe mkali kwa kila kitu utazeeka mapema, na hata usipozeeka mapema bado jela hazitoshi!!!