Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Wadau nawasalimu.
Naomba nimpe hongera nyingi sana Mh.Rais wetu mama yetu samia kwa kazi kubwa ya kututumikia watanzania.Pia nampongeza kwa kuwakabidhi wakazi wa magomeni kota nyumba walizowaahidi.
Kama nakumbuka vizuri mh.Rais alisema pamoja na ujenzi wa zile nyumba bado kuna eneo kubwa limebaki
Ushauri kwa mh.Rais
1.Eneo lililobaki litumike kujenga nyumba za kuishi madaktari wa hospitali ya muhimbili na hospitali za jirani kwani madaktari wetu wanatoka mbali sana kuja kufanya kazi hospital ya muhimbili
2.Eneo lile lijengwe "Magomeni mall" kitega uchumi cha manispaa ya kinondoni kama ile ya mwanza ili kuongeza mapato kwa manispaa ya kinondoni
3.Eneo lile lijengwe hospital kubwa itakayosaidia wakazi wa maeneo jirani ili kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospital za mwananyamala na muhimbili
Huo ni mchango wangu wa mawazo kwa maendeleo ya nchi yetu