tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,238
- 4,464
Mheshimiwa Rais,
Hongera kwa kazi!
Unaonaje nguvu zetu pia tukizielekeza kujenga super highways, kuunganisha kanda zote nchini?
Kwa Tanzania ya sasa kunahitajika Super highways ambazo zitatia chachu uchumi wa nchi yetu. Sioni mantiki ya gari inayotoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kulazimishishwa kuishia spidi ya kilometa 80 kwa saa, ati tunaepuka ajali!!! Sote tunajua kwamba ajali nyingi zinasababishwa na ubovu wa barabara, wembamba wa barabara n.k na si mwendokasi.
Kuna nchi nyingi zimejenga highways kwa PPP, na kupitia road toll bado pesa zitarudi tu.