Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Wewe ndiye hujui na unajidai unajua, huwezi kusaga mawe kwenye machine ya kusaga mahindi, halafu ukapata outcome inayofanana.
Ujinga haufanani inawezekana wangu ukawa unaunafuu kuliko wako.
Lakini vipi kama umeweka mawe kwenye mashine ya kusaga kisha ukatoka unga wa mahindi? Hiyo ndio hoja iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe

WEWE huna akili, jaribu kutumia bunduki kusonga ugali, jaribu kutumia uma kusonga ugali jaribu kutumia soda kupika uji au ugali, jaribu kuweka kokoto kwenye choo kasha flashi; mashine yoyote ina masharti ya kutumia sio unajaribisha ujinga wako unakuja kusema in public
Aiseee!
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Huyu jamaa nafikiri ni Mkenya, amemsema sana Magufuli.

Kaandika haya maneno hapa chini, namnukuu.

"John Pombe Magufuli, the President of Tanzania, just announced that they fed samples from sheep, goats, and even pawpaw and oil ya gari on Covid-19 testing kits and some tested positive. His conclusion is that there must be something wrong with the test kits or there's some warfare against Tanzanians. LOL.

This is ludicrous. It is so stupid it hurts. Medical tests are built and validated for sensitivity and specificity. Sensitivity means - is it able to detect? Specificity means - is it detecting what one wants it to detect?

Validation and calibration is based on existing knowledge of the pathogen you want to test for. How you start testing the presence of the virus in fenesi juice or oil ya gari I don't know.

That Magufuli, a person with a PhD in Chemistry, is wondering how some of the goat or pawpaw samples came back positive is simply laughable.

But he is so deep into his shit, he can't even realize that what he is calling positives and negatives, are what are known as false positives (FP) and false negatives (FN) and the main cause of FP and FN is, hmmmmm you know it, interference with the sample.

You remember in your high school chemistry lessons how you had to treat specimens in a specific way with specific reagents? And you only had to take specific samples to specific machines? Yes?

There is a reason why you must follow strict procedures when taking the sample, medium for transporting the sample, preparing the sample, and feeding the sample in the test instrument.

You cannot test for malaria in the same way you test TB in the same way you test HIV in the same way you test diabetes using the same piece of diagnostic equipment.

But when you start feeding goat and sheep samples and pawpaw juice into a test kit, ostensibly, calibrated for Covid-19, you are exhibiting extreme levels of insanity.

I hope Tanzanians are not so stupid.

So basically, Magufuli and team, made all possible errors that can be made in a lab, and then were so surprised that they reported positive and negative results (essentially false positives and false negatives).

Science is about process, procedures, protocols. Reproducibility which is at the heart of scientific research means that you must follow procedures. Methodology is King.

Bad samples will give you false results (which can be false negative or false positive). Type I and type II errors.

The clinical laboratory cycle has different cycle phases and different types of possible errors at eash stage. See screenshot below from “Patient Safety in Emergency Medicine” by Pat Croskerry and Karen S. Cosby (2009).

They basically made errors in the pre-analytic, analytic, and post-analytic phases and then acted sooooo surprised at their results and ludicrous interpretations.

Actually, the purpose of diagnostic guidelines is to prevent these errors.

Somebody close to Magufuli should have told him to put aside that political juice and use his very good doctorate in Chemistry brain. But I bet they are all afraid of him."

Mwisho wa kunukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyu jamaa nafikiri ni Mkenya, amemsema sana Magufuli.

Huyu nae ni maoni yake...Nachofahamu vipimo vya covid19 vipo aina tatu.Nadhani sisi tunachotumia huku Africa sanasana ni kile cha molecule. Kwamba RNA ya kirusi inakuwa converted to DNA then vipimo vinachukuliwa.Kwamba hapo False negative au positive inakujaje? DNA ya virus inaweza kuwepo kipimo kikaonyesha - AU isiwepo kikaonyesha + depend na sample inayokuwa tested? Waweza nipa ufafanuzi hapo.
Halafu nachojua ni kuwa Rais ni taasisi.Sidhani kama ni mawazo yake pekee.Probably kuna watu kama TISS nyuma yake.
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Ndo maana alikuta sukari 5000??
Kwamba Daniel alimezwa na samaki?
Kwamba tunajenga reli kwa pesa zetu? Wiki chache baadae anaomba mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe

WEWE huna akili, jaribu kutumia bunduki kusonga ugali, jaribu kutumia uma kusonga ugali jaribu kutumia soda kupika uji au ugali, jaribu kuweka kokoto kwenye choo kasha flashi; mashine yoyote ina masharti ya kutumia sio unajaribisha ujinga wako unakuja kusema in public
Kuna watu wengi nyuma ya Rais si yeye pekee..Hilo unalofikiria sahivi lilishafikiriwa zamani sana na wenyewe wakaona wafanye hivyo. Ninyi ambao hata hamuwezi kutambua mwizi wa hela miongoni mwa watoto wenu ndo mna midomo mirefu sahivi.
 
Ni kweli, yaani kwa mfano wakati sample inayohitajika ni ya damu ya kiumbe hai wewe unapeleka mchuzi wa pweza!!

Hii ni intelligensia ya karne ijayo!!
 
Kweli kabisa mkuu.
Kwa vile rais ndio kaibua yote haya sasa aoneshe mfano kwa kuboresha maabara yetu na kuwasaidia wana sayansi wetu. Hili miaka 10, 20, 50 kutoka leo tuweze kusaidiana na wengine kwenye mapambano.

Viongozi wetu uzalendo hamna mpaka janga litokee na likiisha kila mtu anarudi kwenye upupu ule ule.
Mpaka aje kufanya ivyo mmh sio leo wala kesho
 
Ni vigumu sana kutenganisha COVID-19 na mafua ya kawaida katika hatua zake za awali, dalili zinafanana katika kila hatua hadi kufikia kushambuliwa kwa mapafu. Hatua zote katika magonjwa yote mawili zinaweza kugunduliwa na watalaamu wetu wa tiba kama watafanya kazi yao bila kujengewa hofu.

Uthibitisho wa uwepo ugonjwa wa COVID-19 unathibitishwa na vipimo vya aina mbili tu ambavyo ni kile cha vinasaba( Genomic detection-based) na kile cha sampuli ya damu(Immunogloblin detection-based). Vipimo hivi viwili vinaweza kufanyika hapa Tanzania kwa kutumia watalaamu wetu, Tunatakiwa kujiamini zaidi na sio kutegemea kila kitu tufanyiwe na wengine.

Wadau pitieni hili chimbo:👉medicinnet.com
 
Huyu nae ni maoni yake...Nachofahamu vipimo vya covid19 vipo aina tatu.Nadhani sisi tunachotumia huku Africa sanasana ni kile cha molecule. Kwamba RNA ya kirusi inakuwa converted to DNA then vipimo vinachukuliwa.Kwamba hapo False negative au positive inakujaje? DNA ya virus inaweza kuwepo kipimo kikaonyesha - AU isiwepo kikaonyesha + depend na sample inayokuwa tested? Waweza nipa ufafanuzi hapo.
Halafu nachojua ni kuwa Rais ni taasisi.Sidhani kama ni mawazo yake pekee.Probably kuna watu kama TISS nyuma yake.
Umeandika unadahani tunachotumia ni cha molecule, hakikisha hilo kwanza kabla mjadala haujaendelea vizuri.

Tanzania tunatumia kipimo gani? Na kipimo hicho ni sawa kukitupia takataka yoyote kipime?

Soma hapa wasomi wanasema wanasiasa wanatuvuruga kwa kuleta obfuscation baada ya kushindwa kazi ya kulinda maisha ya watu.

Magufuli amelinganishwa na Thabo Mbeki alivyokataa uwepo wa HIV.

Inakuwa kwamba, viongozi wa Afrika wameshindwa kutatua tatizo, basi wanaliletea figisu.Mara kuna mabeberu wanatuandama, mara vipimo vinaonesha virusi vipo mpaka katika mafenesi na mapapai.

Sasa kama vipimo havifai, nani alinunua? Hawakujaribu? Rais alilala wapi mpaka vipimo vinanunuliwa? Kwa nini hilo lisiwe ni tatizo la uzembe wa serikali yote?

Magufuli mbona analaumu wenzake kama yeye hahusiki? Yeye kama rais ndiye muangalizi wa juu kabisa wa haya mambo, alitakiwa kuwa anapewa taarifa daily, yamempitaje haya mambo mpaka testing imekuwa haina maana hivi?

Maoni ya Mhadhiri wa Makerere kuhusu Vipimo vya COVID 19 Kuonyesha Positive Kwenye Samples Zilizochukuliwa Kutoka Kwenye Papai na Mbuzi - JamiiForums
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.

Mimi wasiwasi wangu siyo samaki kukutwa positive, Ni bora kipimo kionyeshe positive mtu akatibiwa akarudi nyumbani kuliko kionyeshe negative mtu akaachwa akafa. Kama kipimo ni kibovu mtuambie watu waliotangazwa wamekufa kwa changamoto ya kupumua na wale waliozikwa usiku walipatwa na nini?
 
Umeandika unadahani tunachotumia ni cha molecule, hakikisha hilo kwanza kabla mjadala haujaendelea vizuri.

Tanzania tunatumia kipimo gani? Na kipimo hicho ni sawa kukitupia takataka yoyote kipime?

Soma hapa wasomi wanasema wanasiasa wanatuvuruga kwa kuleta obfuscation baada ya kushindwa kazi ya kulinda maisha ya watu.

Magufuli amelinganishwa na Thabo Mbeki alivyokataa uwepo wa HIV.

Inakuwa kwamba, viongozi wa Afrika wameshindwa kutatua tatizo, basi wanaliletea figisu.Mara kuna mabeberu wanatuandama, mara vipimo vinaonesha virusi vipo mpaka katika mafenesi na mapapai.

Sasa kama vipimo havifai, nani alinunua? Hawakujaribu? Rais alilala wapi mpaka vipimo vinanunuliwa? Kwa nini hilo lisiwe ni tatizo la uzembe wa serikali yote?

Magufuli mbona analaumu wenzake kama yeye hahusiki? Yeye kama rais ndiye muangalizi wa juu kabisa wa haya mambo, alitakiwa kuwa anapewa taarifa daily, yamempitaje haya mambo mpaka testing imekuwa haina maana hivi?

Maoni ya Mhadhiri wa Makerere kuhusu Vipimo vya COVID 19 Kuonyesha Positive Kwenye Samples Zilizochukuliwa Kutoka Kwenye Papai na Mbuzi - JamiiForums
jue hizi mashine zinaweza zikawa zinapima sample kutoka kwa binadamu tu, ila ukilazimisha zipime sample kutoka kwa kitu kingine tofauti na binadamu unaweza pata majibu yenye utata kama haya ya Magu uku akijiona yupo sahihi kumbe kalazimisha mashinene kufanya kazi isiyo yake, huku akizidi kutia hofu watu, tangu aliongelee ndugu wanaogopa kula hata papai.
 
Na huyo ni mtu ana Ph.D ya Kemia.

Hapo utaona elimu yetu inavyopwaya.
 
Back
Top Bottom