Mheshimiwa on facebook, please add as a friend | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa on facebook, please add as a friend

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Elizaa, May 29, 2011.

 1. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,464
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Siwezi kumuadd awe rafiki yangu, urafiki ni kujuana na kubadilishana mawazo, kushauriana n.k, sasa huyu mawaziri wake tu hataki wamshauri sasa mimi atanifaa
   
 3. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Na wewe pia hujalazimishwa kumuadd
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  naona ameamua kushika usukani mwenyewe baada ya nape kushindwa kuliendesha gurudumu huko fb, haya bwana! nitam poke baadae!
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hell NO, sina marafiki mafisadi na wala sitoweza kuwa na rafiki mafisadi kama huyo Kikwete aende zake mbele waliompigia kura ndio wamu-add but not :A S 103:
   
 6. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hamuoni ni vizuri amekuja karibu zaidi na wananchi wake mumueleleze matatizo yenu bila chenga, yaani hapa ni direct hakuna walinzi wala bodyguard. We mu add then mueleza kile ulichonacho ndani ya moyo.
   
 7. Magogwajr

  Magogwajr JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwambie aseme married to who hata kama wapo wengi awataje tu.
   
 8. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  "National song" ndio mwimbo gani? Kwenye arts/entertainment zake anasema anapenda "national song."
   
 9. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umeona eee, endelea kusona utaona zaidi
   
 10. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  nimeangalia nna dought kuwa sio yy kuna watu wanacheza na jina lake
   
 11. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Naomba mungu asaidie kwamba kwenye red ulikuwa unamaanisha 'doubt' ili ilete maana.
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mheshimiwa ndo nani?
  ana heshimiwa na nani?
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Interested in Men and women
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Me hata sielewi.....
   
 15. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,464
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  Anatakiwa ajiunge huku ili aje kupata majibu ya msingi kwa ajili ya kutatua matatizo ya raia wake
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  HANGOVER mbaya sana, sasa huyo fisadi tunamuadd wa nini kwenye facebook zetu. Encourage pepole to join JF wapate cha mtema kuni maana wanacheza huko uraini waje wapate habari zao humu ndani.
   
 17. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Harafu huyo kweli ni mheshimiwa kweli au?Mbona akisha post mada hajibu tena anaingia mitini?.Kazi inabaki kwa wanaojipendekeza.Utasikia ...hakuna tatizo baba yetu....mwingine ondoa shaka mzeee.Kwa ujumla weng wanashindwa kuchangia mada husika kwa hisia za kweli.Badala yake wamekalia unafiki tu.
   
 18. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimepita pale nikanote vitu fulani Naomba angalia Hii kitu niloattachi Untitled.jpg
   
 19. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hah hah hah hah! muhesimiwa anatumia free facebook ya vodacom? mweeeh! kweli kazi tunayo! naona anachakuandika zaidi ananukuu misemo ya watu.
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  ngoja nimsaidie kujibi hilo swali la kwanza
  kina salama labda wapo wengi kwa hawezi kuwaweka wote hapo FB
   
Loading...