Mheshimiwa Ndesamburo

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
money.jpg


Hivi huyu mheshimiwa ana worth kiasi gani kwa estimates za juuu juu?

That includes assets zake ndani na nje ya nchi

nawasilisha
 
Last edited:
For what mkuu kujua mali ya watu??? kwani pia ana vijisenti nje??? Lakini kwani kavipata kutokana na kodi ya WATZ?
 
Hivi huyu mheshimiwa ana worth kiasi gani kwa estimates za juuu juu?

That includes assets zake ndani na nje ya nchi

nawasilisha

Mkuu,

Ningejua ni kwanini unauliza ingekuwa bomba but still i have got trust that TRA and wahusika wangine wamefanya kazi yao kisawa sawa.
 
GT hujaacha mzecho huu wa kuanzisha mada za ku divert watu toka kwenye serious matters ?Una tuhuma dhindi ya Mbunge huyu mwaga badala ya kuleta hizi.
 
Vipi unataka akumegee ya kampeni?

Obvious si unaelewa kuwa Mburushi kabanwa japo anaweza kuchukua tena zile alizorudisha na kudaiwa kuwa zitaenda TIB lakini kapelekwa aliyewezesha kuzitoa BOT ili akazitoe tena kwa mara nyingine!
 
Tume ya maadili kaandika ana mali kiasi gani? Nyumba ya London pia imo?


NYUMBA AU mijumba ISIYO NA IDADI?

Unaelewa hii ni very sensitive kwa mheshimiwa na wapambe wake na stay tuned watu kuanza kuwa emotional and all
 
Tume ya maadili kaandika ana mali kiasi gani? Nyumba ya London pia imo?

Uko huko kuchunguza mali za watu? Tutajie basi na majumba ya viongozi wako wa ccm usiwe unapendelea.

Subiri atakavyo lialia hapa.........Port!!!!
 
duh! This is such an out of the blue question na halina msingi wowote. Sasa kaka wewe unadhani unajua, si utuambie? It's soo open. Okay...unataka figure...billion moja. Umefurahi?
 
Uko huko kuchunguza mali za watu? Tutajie basi na majumba ya viongozi wako wa ccm usiwe unapendelea.

Subiri atakavyo lialia hapa.........Port!!!!

Shalom,
Tutaje mara ngapi? Wote ambao tunajua mali zao tunataja bila woga. Kuwa na mali sio kosa ila ni vizuri kuwa wakweli kwa kuzitaja hizo mali kwenye mamlaka husika. wao ndio wametunga hizo sheria lakini wanaongoza kuzivunja.

Tuna viongozi wengi sana wanafiki wa majukwani wakati matendo yao kwa chini chini ni mabovu kishenzi. Hao ndio wajibu wetu kuwaumbua mmoja baada ya mwingine. Wengine hatuogopi mtu yeyote na wala hatupendelei chama chochote.

Mbunge ambaye ana mali na anashindwa kuzitaja kwenye tume ya maadili, mimi naamini kuna mambo atakuwa anaficha. Hizo nyumba inatakiwa wawe wanalipia kodi Tanzania lakini wakati walimu wanakamuliwa kodi, mawaziri na wabunge wanapangisha majumba yao kwa mamilioni bila kulipa kodi.

Hata watu wakija hapa na kulialia sisi wengine haitupi shida kama ambavyo haikutupa shida wengine walivyolia lia huko nyuma.
 
mtu anayejua ana wealth kiasi gani si tajiri kwani matajiri wakubwa wealth zao zinaongezeka kwa masaa. Hu yu jamaa ni mfanyabiashara tajiri na mkweli kwani kaanza biashara miaka ya sabini na analipa kodi zake kama kawaida.

NamePhilemon Ndesamburo
2942.png
SurnameNdesamburoFirst NamesPhilemonAlternate Name Title Country of BirthTanzaniaPositionsFromToOrganisationPosition2005 Moshi Mjini ConstituencyMP for Moshi MjiniDate of Birth19 Feb 1935Political AffiliationCHADEMAeMail Telephone Address NotesEDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Thurrock College-UK Certificate in Cargo Insurance 1968 1970 CERTIFICATE
Thurrock College-UK Advanced Diploma in Shipping 1968 1969 ADV DIPLOMA
Government Technical School-DSM Certificate in Commerce 1954 1954 CERTIFICATE
Old Moshi Secondary School Secondary Education 1950 1953 SECONDARY
Matemboni Primary School Primary Education 1944 1949 PRIMARY
--------------------------------------------------------------------------------
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
--------------------------------------------------------------------------------
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Kilimanjaro Safari Club Managing Director 1985 1998
Keys Lodge Chairman 1985 Todate
Keys Hotel Ltd Managing Director 1979 Todate
K's Enterprises Co. Ltd-Moshi Managing Director 1976 Todate
Delight Company Managing Director 1976 1980
Schenker & Co. GMBH-German Representative 1976 1985
Shipping Corporation of India Representative 1976 1982
Express Services Co. Ltd Managing Director 1972 1975
Freight Express Co. Ltd Managing Director 1971 1975
Government of Tanzania Movement Officer 1969 1971
Government Passages Agent Movement Officer 1965 1967
Government of Tanzania Junior Accountant 1961 1965
Government of Tanzania Clerical Officer 1955 1960
--------------------------------------------------------------------------------
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
CHADEMA Chairman Board of Trustees 1998 Todate
CHADEMA Regional Party Chairman 1992 Todate
[ Retrieved on 17-7-2006 - www.parliament.
 
Unaelewa hii ni very sensitive kwa mheshimiwa na wapambe wake na stay tuned watu kuanza kuwa emotional and all[/QUOTE]

Hivi wewe ni pandikizi la CCM/MAFISADI, maana naona unafuatilia sana mambo ya watu hasa vyama vya upinzani. Wengine wooote ujaona wanayoyafanya, huyu tu ndo umeona.
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!.
Tafauta hoja nyingine.
 
NYUMBA AU mijumba ISIYO NA IDADI?

Unaelewa hii ni very sensitive kwa mheshimiwa na wapambe wake na stay tuned watu kuanza kuwa emotional and all
Kuna shida gani Mbongo kuwa na hizo pesa....mbona wahindi wana mijumba dar..na uk hakuna anayewauliza..sijui kwenye thread yako unataka nini?? au helikopta zimekupakawisha?
 
Watanzania ni lazima tuelewe kuwa kuna Watanzania wanaofanya biashara kihalali na wanafanikiwa na ndesamburo ni mfano mzuri. Huyu mzee kuanzia miaka ya sitini amefanya kazi kwa bidii na CV yake inaonyesha na wamemtafuta lazini kafanya kila kitu kihalali na bado ana utajiri mkubwa sana. Watanzania tumpongeze huyu mzee kwa kuwa mfano mzuri angeweza kukaakimya na kula pesa zake lakini anajali maisha ya watanzania.
 
Kuna haja kuanza kuhoji vyanzo vya mapato kwa hawa wanajulikana kama VIBOBA. Tanzania hii hii watu wamepigika kiasi cha kulala na wengine hata kufa kwa njaa...na wakati huo huo kuna watu wamefikia hatu ya kununua maeroplane, magari ya milioni mia saba na kwenye majumba ndo usiseme.

Mi nafikiri tuanze na hawa matajiri mapema kabla ya uchaguzi afu tumalize na hawa wa serikali.....WATU WANAUTAJIRI WA AJABU JAMANI KHAAA!!!!
 
Kuna haja kuanza kuhoji vyanzo vya mapato kwa hawa wanajulikana kama VIBOBA. Tanzania hii hii watu wamepigika kiasi cha kulala na wengine hata kufa kwa njaa...na wakati huo huo kuna watu wamefikia hatu ya kununua maeroplane, magari ya milioni mia saba na kwenye majumba ndo usiseme.

Mi nafikiri tuanze na hawa matajiri mapema kabla ya uchaguzi afu tumalize na hawa wa serikali.....WATU WANAUTAJIRI WA AJABU JAMANI KHAAA!!!!

Kama wamepata kihalali ni matajiri tu mkuu na wana haki ya kuwa matajiri sijui kwanini umeshtushwa sana,unless una ushahidi wa ufisadi,si vyema kuwa na chuki tu kwasababu mtu ana kisu.Pambana na wewe mambo itakuwa safi oneday na si kushtushwa tu chapaa mwenzako aliyonayo,pambana mkuu,usishtushwe na maeropleni...Na kwa taarifa yako kama angekuwa na ufisadi usidhani kama ccm wangemwacha,wahindi na waarabu hapo bongo wakiwa na kisu hamna shida,mchagga ama mweusi mwenzetu tabu khaa!!
 
Back
Top Bottom