Mheshimiwa nanii...futa kauli yako!

The_Emperor

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
871
125
Hivi jamani kwa nini kusianzishwe huu utaribu humu jf,kama mtu akikosea asipewe "ban" bali apewe muda wa kufuta kauli yake kama ilivyo bungeni,na kama akikataa ndio apewe red card!Je,unaonaje haka kautaratibu,

Wanaoafiki waseme ndiyo.....

Wasioafiki waseme....
 
nasubiri kwanza mheshimiwa spika Paw na asiyeonekana.. waniruhusu kutoa mwongozo... kwa kuwa....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
kwa kuzingatia kanuni za chitchat za mwaka 2012, kifungu cha tatu "a", kipengele cha saba "che" na kwa kuwa upembuzi yakinifu ndio mchakato umeanza, na tathmini yote ya ban bado iko mezani kwa spika na kwa kuwa hoja iliyopo inafanana na zile zilizopo kwenye jukwaa la malalamiko na ushauri, je mh. spika Invisible huoni kuna haja sasa ya kuhamishia mjadala huu katika jukwaa husika? ahsante mh. spika
 
Back
Top Bottom