Mheshimiwa Mbowe hili liwe swali kwa Waziri Mkuu siku ya kesho

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Mh. Kesho ikiwa ni Alhamisi, tunaomba kupitia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, ulize serikali kama mwezi huu serikali itato nyongeza ya mishahara kwa watumishi kama ilivyoahidi maana teyari kuna mkanganyiko kuhusu swala hilo.

Ikibidi pia beba na gazeti la HabariLeo lililomnukuu kigogo mmoja wa serikali aliedaiwa kusema utaratibu wa kupanda mishahara sasa hautategemea tena sheria ya kupanda madaraja kila baada ya miaka 3 bali itategemea utendaji kazi wa mtumishi.

Pia uitaka serikali ifafanua kama nyongeza hiyo itahusu watumishi wote au ni wale zaidi ya 59,000 tu na usisahau kuhoji kama watalipa malimbikizo.

Swali la nyongeza
:
Kwakuwa mpaka sasa kuna taarifa zisizo rasimi mitandaoni na ambazo hazijakanushwa kuwa waliokuwa wamesitishiwa promotion ili kupisha zoezi la uhakiki, barua zao sasa zinatakiwa zionyeshe kuwa watakuwa promoted kuanzia tarehe mosi November mwaka huu na si vinginevyo,je mh.Waziri Mkuu hii ni kweli?

Wabunge wengine wa upinzani muulize nini kinaendelea kuhusu Bombadier maana Mwanasheria wa serikali tulieambiwa katuma Canada kushughulikia swala hilo hivi saaa yuko Bungeni na mumtake waziri mkuu athibitishe kuhusu majibu ya barua ya Waziri Mkuu wa Canada kwa Raisi.

Naamini haya yatakuwa maswali ya kisera na yatajibiwa.

Waheshimiwa mimi kama mwananchi nimewakumbusha tu ila ni namna gani maswali hayo mtayauliza nawaachia wenyewe.

Tunaomba mtuwakilishe vema hiyo kesho.
 
by the way Mbowe hana mamlaka yoyote au dhamira chanya ya kuzungumizia maslahi ya watumishi.tuliwahi kusikia watumishi wa mbowe wakimdai mafao ya nssf.
 
Ni kweli haujui namna hayo maswali yatakavyojibiwa? Au unataka tu watu wajipatie umaarufu wa kuuliza maswali?

Nafikiri kuna haja ya kuwa na utaratibu wa kuyapitia na kuyapima haya maswali. Walishasema hakuna nyongeza licha ya atakavyojibu PM kesho.
 
Tatizo hawa kunguni ukishawauliza hivi wakijua watajiandaa kujibu mzaha kwenye maswali ya msingi.Ungempelekea Free ibox ndio maana maswali ya papo kwa hapo wanampango wa kuyafuta
Hata hivyo ni swali la msingi sana comrade
 
by the way Mbowe hana mamlaka yoyote au dhamira chanya ya kuzungumizia maslahi ya watumishi.tuliwahi kusikia watumishi wa mbowe wakimdai mafao ya nssf.
Kama ambavyo hana mamlaka ya kuhoji ulipaji wa kodi,rekodi ya michezo yake yote ipo
 
by the way Mbowe hana mamlaka yoyote au dhamira chanya ya kuzungumizia maslahi ya watumishi.tuliwahi kusikia watumishi wa mbowe wakimdai mafao ya nssf.
ulisikia hukuona? je mlikuwa wangapi mliosikia?
 
Mh. Kesho ikiwa ni Alhamisi, tunaomba kupitia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, ulize serikali kama mwezi huu serikali itato nyongeza ya mishahara kwa watumishi kama ilivyoahidi maana teyari kuna mkanganyiko kuhusu swala hilo.

Ikibidi pia beba na gazeti la HabariLeo lililomnukuu kigogo mmoja wa serikali aliedaiwa kusema utaratibu wa kupanda mishahara sasa hautategemea tena sheria ya kupanda madaraja kila baada ya miaka 3 bali itategemea utendaji kazi wa mtumishi.

Pia uitaka serikali ifafanua kama nyongeza hiyo itahusu watumishi wote au ni wale zaidi ya 59,000 tu na usisahau kuhoji kama watalipa malimbikizo.

Swali la nyongeza
:
Kwakuwa mpaka sasa kuna taarifa zisizo rasimi mitandaoni na ambazo hazijakanushwa kuwa waliokuwa wamesitishiwa promotion ili kupisha zoezi la uhakiki, barua zao sasa zinatakiwa zionyeshe kuwa watakuwa promoted kuanzia tarehe mosi November mwaka huu na si vinginevyo,je mh.Waziri Mkuu hii ni kweli?

Wabunge wengine wa upinzani muulize nini kinaendelea kuhusu Bombadier maana Mwanasheria wa serikali tulieambiwa katuma Canada kushughulikia swala hilo hivi saaa yuko Bungeni na mumtake waziri mkuu athibitishe kuhusu majibu ya barua ya Waziri Mkuu wa Canada kwa Raisi.

Naamini haya yatakuwa maswali ya kisera na yatajibiwa.

Waheshimiwa mimi kama mwananchi nimewakumbusha tu ila ni namna gani maswali hayo mtayauliza nawaachia wenyewe.

Tunaomba mtuwakilishe vema hiyo kesho.
Kweli KUB amechoka hadi anapangiwa nini aulize na ID fake?!!!
 
Tatizo hawa kunguni ukishawauliza hivi wakijua watajiandaa kujibu mzaha kwenye maswali ya msingi.Ungempelekea Free ibox ndio maana maswali ya papo kwa hapo wanampango wa kuyafuta
Hata hivyo ni swali la msingi sana comrade
Ni kweli unachosema ila tatizo wanasiasa wetu sometimes huwa hawayapi sana uzito mambo kama haya.

Vile vile lengo ni wananchi wasikie kauli za viongozi wao na wapime utekelezaji wao.
 
by the way Mbowe hana mamlaka yoyote au dhamira chanya ya kuzungumizia maslahi ya watumishi.tuliwahi kusikia watumishi wa mbowe wakimdai mafao ya nssf.
....Out of context...vp mnamsaidiaje mzee mzima Mogabe kule bondeni?
 
Hili halitakuwa swali la papo kwa papo, bali ni swali kutoka JF na majibu yake yatatoka hapa hapa JF.
 
Kwa hiyo wafanyakazi was serikali wanataka mfanyakazi aongezwe madaraja na mshahara hata kama performance ni poor?
 
Aulize kwanini Tanesco wanakata umeme siku mbili mfululizo, yaani Leo tangu SAA 2 ASB hadi SAA mbili usiku..kesho vivyo hivyo SAA 2asb hadi SAA 2usiku..

Aulize wanampango gani na wafanyabiashara wanaotegemea umeme hapa nchini??
 
Watanzania, watumishi daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana.
Mungu atawaletea ya Zimbabwe.
 
Utaratibu wa madaraja wala haujabadilika,kigezo cha muda ni kigezo cha mwisho ktk vigezo vinavyotumika ktk promotion ambapo mtumishi atafikiriwa baada kupass vigezo vingine ikiwa ameshatimiza angalau miaka mitatu hadi mitano kwenye cheo hicho.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom