Mheshimiwa Mbowe hili liwe swali kwa Waziri Mkuu siku ya kesho

kabla hajauliza akasome kanuni za utumishi wa umma
Swali kwako mkuu wa kitengo cha ujinga Lumumba, kwa kuwa tumechoma ndege kwa kuhofia kuingiza ugonjwa wa mafua ya ndege mipakani mwetu. Hatuoni kuwa Canada wana nia ya dhati kumshikilia mama ndege ili asijekuja kuishia kwenye moto wa kiberiti?
Kishika uchumba cha Accasia kimekuja au mume mtarajiwa kakimbia mwali.
Nauliza zile 50-50 za uwekezaji wa 16% zitaanza kazi lini?
Je ndege isipokuja na uwanja wa chato tumejenga tupageuze sehemu ya kunoa wanariadha?
 
Hayo maswali si ya kisera, hivyo yatafutiliwa mbali na NS. Inaelekea mtoa mada hajui maana ya sera (policy). Maswali hayo ni ya kiutendaji na anayepaswa kuwa ameshaulizwa ni waziri wa utumishi kwenye kipindi cha maswali na majibu!
 
Aulize "kwanini magufuli hajiuzulu kupisha wanaoweza kuongeza mishahara watumishi kwa mujibu wa kanuni waweze kutekeleza wajibu huo kwa lengo la kuongeza tija kwa watumishi wa umma"
 
Kuisubiria serikali ya JPM kupandisha mshahara ni sawa kusubiri meli Airport
Ni rahisi meli kusubiriwa airport kuliko wafanyakazi Tz kusubiri nyongeza za salary. Meli inaweza kupakiwa vipande vipande ndani ya ndege na ukaipokea airport.
 
Swali kwako mkuu wa kitengo cha ujinga Lumumba, kwa kuwa tumechoma ndege kwa kuhofia kuingiza ugonjwa wa mafua ya ndege mipakani mwetu. Hatuoni kuwa Canada wana nia ya dhati kumshikilia mama ndege ili asijekuja kuishia kwenye moto wa kiberiti?
Kishika uchumba cha Accasia kimekuja au mume mtarajiwa kakimbia mwali.
Nauliza zile 50-50 za uwekezaji wa 16% zitaanza kazi lini?
Je ndege isipokuja na uwanja wa chato tumejenga tupageuze sehemu ya kunoa wanariadha?
Chato tutatengeneza bandari iwe Freeport, zile traffic light zitasaidia wananchi wa pale wasizaane kwa wingi maana tuna mpango wa kuzifunga hadi vyumbani mwao.
 
Huo utakuwa Ni usaliti Wa kauli na kujifanya kuwa matsmko hayo hayafuatiliwi na watu. Sasa hivi Ni digitali, ukijifanya umesahau yutakutumia clip, we acha wayajibu kiurahisirahisi
Ni kweli haujui namna hayo maswali yatakavyojibiwa? Au unataka tu watu wajipatie umaarufu wa kuuliza maswali?

Nafikiri kuna haja ya kuwa na utaratibu wa kuyapitia na kuyapima haya maswali. Walishasema hakuna nyongeza licha ya atakavyojibu PM kesho.
 
Back
Top Bottom