Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Wapi ameuliza? Acha kisebengo weweSasa KUB anauliza maswali wapiga kura!
Hiyo ni adhabu ya kipumbavu inayoweza kutolewa na mtu mwenye kiwango cha juu kabisa cha upumbavu!!Hilo ni darasa lililopewa adhabu kwa kukosa nidhamu, NA sio sababu ya ukosefu wa madarasa.
Mbowe hatoweza kututajia ni sehemu gani ama ni shule gani, ndio maana hakutaja shule wa mahali, amefanya ujanja NA uchochezi, akijua wapo watu watakao idandia hiyo picha NA kuanza kwa changia