Mheshimiwa Mbowe, hii ni nchi gani na ni wapi huko?

Screenshot_2017-12-03-18-16-56.png

Ni wapi hapa jamani
 
Hilo ni darasa lililopewa adhabu kwa kukosa nidhamu, NA sio sababu ya ukosefu wa madarasa.

Mbowe hatoweza kututajia ni sehemu gani ama ni shule gani, ndio maana hakutaja shule wa mahali, amefanya ujanja NA uchochezi, akijua wapo watu watakao idandia hiyo picha NA kuanza kwa changia
 
Hiyo ni adhabu ya kipumbavu inayoweza kutolewa na mtu mwenye kiwango cha juu kabisa cha upumbavu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom