mheshimiwa Makonda barabara ya kwenda benki ya damu imezibwa na gereji

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
kuna mbabe mmoja ameziba barabara ya kwenda benki ya damu salama pale ilala kwa hiyo hakuna barabara rasmi ya kwenda kwenye ofisi hii nyeti inabidi yale ma ambulance yapite kwenye vichochoro ambavyo vina corrugation huwezi kuendesha gari hata spidi 30 kph, barabara rasmi iliyozibwa inatakiwa itokee kigogo pale kwenye mabucha ya nguruwe lakini ndio huyo mbabe ameweka magari yake mabovu..kwa hiyo inabidi uzunguke kule nyuma ya kituo cha daladala cha msimbazi upite kwenye makorongo .....ndiyo ufike benki ya damu salamu.......mheshimiwa najua hili hutoshindwa
 
Back
Top Bottom