Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,051
- 2,105
Haiwezekani watu tumefanya interview toka mwezi wa tatu tena maswali ya multiple choice halafu mpaka leo karibia mwezi wa sita wanatuzuga eti bado wanasahihisha na wakati utumishi watu wanafanya wengi na majibu wanayapata on time.
Hapo kuna harufu ya uchakachuaji..mheshimiwa magufuli tusaidie kututumbulia hilo jipu maana limeiva mpaka linakaribia kuwa kansa sasa.
Hapo kuna harufu ya uchakachuaji..mheshimiwa magufuli tusaidie kututumbulia hilo jipu maana limeiva mpaka linakaribia kuwa kansa sasa.