Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
nchi yetu ina ardhi na maji ya kutosha kuliko nchi yoyote kwenye jumuiya ya Africa mashariki. EAC ina watu 170 ambao ni soko kubwa la chakula na likiwa wazi Tanzania itafaidika kuliko nchi hizo zingine.
tufanye kuuza mahindi Sudani Kusini iwe sawa na kupeleka mahindi Dar toka Iringa. kusiwe na vizuizi, kodi sumbufu wala vibali vya ziada. ni wakati wa Tanzania kufaidika na huu umoja badala kupinga kila hoja inayotolewa na wenzetu.