Mheshimiwa Lowassa, Ni nini Msimamo wako kuhusu Suala la Posho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Lowassa, Ni nini Msimamo wako kuhusu Suala la Posho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njaare, Feb 1, 2012.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mheshimiwa Edward Lowassa umekuwa ukitajwatajwa sana kuwa una mpango wa kugombea urais mwaka 2015.

  Suala la posho limeonekana kuwagawa wananchi na linaonekana kuchochea chuki si kati ya wabunge na wafanyakazi tu bali hata kati ya watawala na watawaliwa katika taasisi, wizara na idara za serikali.

  Ni nini msimamo wako?
   
 2. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Unafikiri huyu fisadi ana mpango na hizo pesa?? Huyu jamaa anaweza kuhudhuria bunge bila kulipwa na asijali ilimradi ana cheo chake. Hizo posha ndiyo anakwenda kuhonga makanisani!!!
   
 3. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Fisadi mkubwa kama Lowassa ana ubavu wa kupinga posho?
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mr zero kumbe una akili,huyo fisadi hata bunge lingekuwa halitoi posha yeye angepeta tu,PILI: siasa za lowassa si zile strategy za kukomvic via kucheza na akili za watu yeye anatumia fungu.jukwaani ukimsimamisha EL na mbunge Ndasa,fisadi atakimbia.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa vizuri, umemuuliza kama mtu anayetajwa kuwa ana mpango wa kugombea Urais 2015 au una muuliza kama Waziri Mkuu aliyewahi kujihuzuru?
   
 6. l

  luckman JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  mwzi hawezi kuwa rais wa hii nchi!
   
 7. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowasa hana jipya zaidi ya kuwaza kuwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tz ndio kwa maana kila jumapili anajikweza kwa wakristo wa Wakilutheli na kujifanya anatoa michango ya kanisa je muda wote huo alikuwa wapi akujua kama wakristo wanahitaji makanisa ya kileo? lakini wanashindwa kutokana na umasikini unaosababishwa na viongozi rafiki zake???????? na yeye akiwa kiongozi mshauri mkuu wa kikosi hicho kutoa fedha nyingi makanisani kwa kile kinachoitwa Harambeee sio kuwasaidia waumini kwani hao hao unaowasaidia kuwajengea makanisa watashindwa kutoa Sadaka makanisani mwao mwisho na ukristo unakufa kwa kukosa kutoa sadaka lakini kwa upande mwingine anarudisha kidogo kidogo wanachotuibia walalahoi.
   
 8. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaare! Hoja yako imewekwa kando na imegeuzwa zikaibuliwa hoja zingine tofauti kabisa hao ndio baadhi ya thinkers waliomo humu ila kaka hili swali lako jamaa akujibu kwa minajili ipi ya kama Mbunge wa Monduli au Rtd PM!!!!
   
 9. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye ni Mkristo dhehebu lake ni Lutheran amekuwa akisali usharika wa Azania Frontna usharika wa Monduli na usharika mwingine wowote ule anapokuwa Mikoa mingine au Nchi nyingine na amekuwa akitembelea na madhehebu mengine na hakuanza jana wala juzi mi nadhani hivyo swala la wewe kusema eti kila Jumapili halina mashiko na usilichukulie kama ni hoja we acha watu wamjengee Mungu madhabahu kama uwezo huo wewe huna acha kutuhumu wenye nao eti anarudisha pesa alizoiba such a ridiculous idea.......
   
 10. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  who cares what he thinks?
   
 11. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu hatoki vichwani/vinywani mwenu,basi ni Rais wetu 2015.
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani.
   
 13. N

  Njaare JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Kukutia,

  Kama mbunge wa Monduli na pia kama mtu anayehangaika sana kutaka kusafisha njia ya kutaka kugombea uraisi
   
 14. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2016
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  napitia maoni ya watu wakati ule halafu maoni ya watu hao hao sasa.....

  Ni ngumu sana mtu kuwa na msimamo thabiti usioyumbishwa. na ushabiki

  mtu mmoja wakati fulani alisema ... "The strongest man in the world is the one who stands alone"
   
Loading...