ASCUDA T
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 120
- 33
Na Imani Kuna Baadhi Ya Watanzania Watakuwa Wanakumbuka Kwamba Kuna Silaha Za Taasisi Ya Utafiti Ya Wanyamapori [TAWIRI] zilikamatwa na kwa kuhusishwa na ujangili.
suala hili lilitolewa na mh Kange Lugola Na Kamati Ya Kina Zito Mwaka Jana. Lingine Ni Pale Mkurugenzi Wa Tawiri Serengeti Alipoingia Katika Mgogoro Na Mkurugenzi Mkuu Simon Mduma.
Chanzo Kilikuwa Simon Mduma Ambaye Ni Mkurugenzi Mkuu Wa Tawiri Kushirikiana Na Mzungu Ambae Alikuwa Ameweka Kontena Lake Tawiri Makao Makuu Lililokuwa Linatumiwa Kuficha Nyara Za Serikali.
Baada Ya Yule Mkurugenzi Wa Serengeti Kulikomalia Mduma Na Yule Mzungu Waliondoa Lile Kontena. Ki Ukweli Huyu Mkurugenzi Anatutia Mashaka .
Ombi Nyalandu Piga Chini Mpaka Wakurugenzi Maana Hawa Nao Majangili Tu.