Mheshimiwa Kikwete usisikilize kelele za wapinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Kikwete usisikilize kelele za wapinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masaka, Jun 4, 2008.

 1. M

  Masaka JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 437
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida yao wapinzani wanakosoa tu kila kitu ccm inachofanya. Badala ya kujenga vyama vyao vya kikabila kama chadema, tlp, na nccr mageuzi na kile cha kidini cha cuf, wao wanajazana kwenye mitandao ya internet kuleta udaku tu kuchafua ccm.

  Mheshimiwa Raisi usiwasikilize hawa wapinzani na kelele zao, wewe jipange vizuri kujenga nchi yetu baada ya kuachana na mafisadi toka kwenye serikali yako.
   
 2. C

  Chief JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2008
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo mjpaka sasa yupo pamoja nao(?), hivyo bado hawezi kujipanga kujenga nchi yetu.
   
 3. Mzozo wa Mizozo

  Mzozo wa Mizozo JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 427
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ndugu yangu unaelewa maana ya Upinzani ama unaongea tuuu mradi uwe na maneno nawe uonekane umepost apa JF?

  Hivi hawa Mafisadi ni wa Vyama vya Upinzani na je huna Taarifa kwamba huo Udaku wa Wapinzani ndio umesaidia katika kuwafichua lakini Ukimya wa huyo JK wako ndo unadhihirisha kwamba naye ni mmoja wao na ataendelea kuwakumbatia kufa!?

  Jua one thing, Wapinzani ni "Watch Dogs" na daima serikali itapokosea watagomba na kuweka wazi. Hatutakaa kimya. The Ultimate Goal ni kujenga Nchi, Tanzania yenye Muelekeo na si Chama!
   
 4. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Utamuweza Mkuu masaka yeye akijisikia tu anaanzanzisha thread. Nafikiri itatakiwa thread zake ziwe zinaunganisha halafu zinajadiliwa kwa pamoja.
   
 5. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2008
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Fikra zako za kufikilia inawezekana ziko below nomal human IQ
  Unaweza kutupa classification ya chama cha Mapinduzi
   
 6. S

  Siao Member

  #6
  Jun 4, 2008
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu sijui ndio masaka naye mmemtoa wapi tena huku...?

  Huyu anasababisha watu huku waonekane wana mawazo kama yake...! Tz hali ilivyo mbaya, lazima huyu amekodishwa...!

  Wale wenye vipawa wamsaidie, kama haelekei, basi aachwe awe kubwa jinga letu huku. Hivi vichwa vyeupe hivi vipo huku kama vitatu hivi, lakini ndio wanaofanya tunakuwepo. Wanacompliment jamii ya jf.

  Hata wahazabe wamejua ccm na jk ni hatari kwa taifa letu. unapokuja kukuta kuna na mtu anajua hata kutype kwenye computer anasifia ccm na Jk - nasema basi kusoma ni kitu kimoja na kuelimika ni kitu kingine, au ni hii mitihani inayoibiwa nini?

  ama kweli,
  If fools went not to the market, bad wares would not be sold.
   
 7. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2008
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  BabaH,
  Mkuu huyu asikuumize kichwa, muda utawahukumu, sijui ni lini ila siku zaja na si mbali kitambo, lango lao litafungwa hapo ndipo watalia na kusaga meno.
   
Loading...