Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Mbona mnashindwa kutoa sababu? Kama ni ufanya kazi tu mbona Lowassa alikuwa ni mchapa kazi asiye mfano? Toeni sababu na mafanikio ya huyu bwana!
Siasa za ushabiki ndizo zilizotufikisha hapa. Kama mnataka kuziendelea basi msimlalamikie mliemchagua kwa kishindo!
Amandla.......
Endelea kuwapigia debe mafisadi wanaokupa kitu kidogo. Usione kimya members wanakufahamu vilivyo hawawezi kukupa sababu.
Vibaka waliopo sasa hawafai tena ipo siku watajibu tu, si unakumbuka yaliyowapata kina Ceusesko kule Yugoslavia.