Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

Kuna kakipande ka barabara fulani kako mwanza palipoishia barabara ya Green Acre. Kila mwezi Nyanza toad wako aple wanajenga toka mwaka 2005. Unajua ni project ya nani? Mi mwenye nisingempa kura yangu bora nipigie jiwe.
 
Mmmh! mkuu kwel bhana panaitwa ILULA naisi ni siku sanaaaaa hapaishi ata majuz nilipita hapo nikakutana na pilikapilika tu... ( kwan ni mrad wake????)
 
tuambie wewe unayejifanya unamjua
tunataka hoja kwa hoja sio majungu tu ya kumchafua mtu

mbona unakuja juu hivyo ni mmeo kwa taarifa yako hata ubunge ni 50/50 itakuwa uraisi, kipi amekisimamia akiwa hana kofia ya uwaziri au kiburi na madharau yake ndiyo yanakupa matumaini jimboni kwake anakimbizwa mpaka presha inapanda..
 
naona umetembelewa na popobawa leo ndo maana hujitambui...nadhani aliwahi kukulala hakukulipa ndo maana unamchukia...
mbona unakuja juu hivyo ni mmeo kwa taarifa yako hata ubunge ni 50/50 itakuwa uraisi, kipi amekisimamia akiwa hana kofia ya uwaziri au kiburi na madharau yake ndiyo yanakupa matumaini jimboni kwake anakimbizwa mpaka presha inapanda..
 
Hebu endeleeni kumchambua maana sie wengine huwa tunamsikia tu kwenye ufunguzi wa ujenzi wa mabarabara.
 
katika CCM ukianza kusema suala la usafi na kutokuwa na kashfa hutapata mgombea zaidi ya mwanangu Dr. Emmanuel Nchimbi na mzazi wangu Dr. Salim A. Salim. Wema wengine CCM wapo ila wapo mbali sana na meza ya maamuzi. Najua wengi mtakuwa mnashangaa ninapomsema Nchimbi but wait and you will see. Ni mtaalam wa siasa ndani ya CCM kuliko mnavyomdhania.
Wapiga kazi CCM wanajulikana ila nao sio malaika ni sawa na wengine.
 
Magufuli hafai, mtu wa visasi sana na pia akikujia juu ujue hujatoa cha juu. Bara bara nyingi zipo chini ya viwango lakini hawarudii kuna nini hapo.
 
Magufuli alitakiwa sasa awe gerezani Ukonga kwa uhujumu uchumi!Aliwapa nyumba za serikali ndugu zake zilizojengwa na Nyerere kwa mikono yake(Kuna picha maktaba zinaonyesha Nyerere akibeba mchanga kwenye karai kuwapa mafundi akijenga nyumba za Oysterbay)Magufuli ndiye waziri anaye ongoza kwa kuitia hasara serikali((Rejea uamuzi wake alipogoma kutii amri ya mahakama na kubomoa kituo cha mafuta-Mwanza)
 
Kwa muono wangu huyu bwana ndio anafaa kumrithi Kikwete, kwa Nchi yetu ilipofikia tunahitaji Rais mwenye msimamo na mbabe kama huyu jamaa, hatuhitaji tena mtu soft!!!!!

Jina lako linafanana nawe,ila nakuibia siri kwamba J.P.Makufuli hafai kuwa rais,sababu kubwa sana,huyu jamaa ni mtu wa kisasi sana.Namfahamu tangu akiwa TANROAD Morogoro.Si kila kinachong'aa kwako kinang'aa na kwa wengine.
 
katika CCM ukianza kusema suala la usafi na kutokuwa na kashfa hutapata mgombea zaidi ya mwanangu Dr. Emmanuel Nchimbi na mzazi wangu Dr. Salim A. Salim. Wema wengine CCM wapo ila wapo mbali sana na meza ya maamuzi. Najua wengi mtakuwa mnashangaa ninapomsema Nchimbi but wait and you will see. Ni mtaalam wa siasa ndani ya CCM kuliko mnavyomdhania.
Wapiga kazi CCM wanajulikana ila nao sio malaika ni sawa na wengine.

Masaburi at work !!!
 
Masaburi at work !!!
Masaburi yupi mkuu, unamaanisha huyu mzee mtaalam wa matusi aliyesema wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia ------ au Masaburi mwingine? Kama unamaanisha huyo pls niombe radhi. Mimi sio wa namna hiyo na sio mtu wa do or dies politics
 
Back
Top Bottom