Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,994
Likes
1,120
Points
280
sodoliki

sodoliki

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,994 1,120 280
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa sababu za taratibu za CCM, basi zamu inayofuata.

Vyovyote iwavyo, naamini huyu bwana anafaa kila kona uwanjani anapocheza siasa. Hata PhD aliyoipata majuzi inaongezea chachandu tu, kwamba hatababaishwa na vyeti vya udaktari wa kupewa zawadi tu, maana anayo real one.

Sina uhusiano naye kabisa huyu mtu na wala sijawahi kukaa naye au kuonana karibu, lakini vitu vyake mwisho bwana. Naamini atachagua timu ya washauri inayofanana naye. Hata kama anayo mapungu yake kama binadamu, the good outways the bad, wakati mwingine analazimika kufanya vitu vingine kwa kuwatii wakubwa zake, lakini akishika rungu mwenyewe nashawishika (sidanganyiki) kwamba ataifaa Tanzania ya sasa.

Leka
Katika vitu nchi hii ilifanya makosa ni vitatu, cha kwanza azimio la arusha pili kumpitisha jpm, tatu wachangiaji kwenye uzi huu, kosa lao halitasahaulika milele
 
Deadbody

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
3,948
Likes
5,459
Points
280
Deadbody

Deadbody

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
3,948 5,459 280
Najua JPM ni mchapakazi mzuri zaidi ya mawaziri wengine wengi kama siyo wote, ni mfuatiliaji mzuri wa watu wa chini yake, ana uwezo wa kujieleza, kujenga hoja na kizisimamia hata pale hoja hizo zinapokuwa na upinzani wa dhahiri - mfano ni uuzwaji wa nyumba za serikali.

Tatizo langu na huyu jamaa ni moja tu si msikilizaji mzuri na anaweza kuwa "dictator" mzuri sana hasa pale mitazamo na misimamo yake itakapokuwa kinyume na maslahi ya nchi - refer uuzwaji wa nyumba na ubadilishwaji wa ramani ya barabara kuu kupitia wilayani kwao. Wakati wa uuzwaji wa nyuma za serikali JPM alikuwa na majibu ya kejeli - kama ya bosi wake Mkapa - kwa wale wote waliokuwa wanahoji busara ya zoezi lile. Ni aina ya mtu ambaye anapenda kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja pale anapokabiliwa na wapinzani makini wanaohoji busara za maamuzi na matamshi yake.

Tatizo letu Tanzania ni la kimfumo zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Tuna mfumo ambao hauna vidhibiti mwendo kwa kiongozi mkuu kabisa wa nchi na wateule wake hasa pale wanapoamua kushirikiana kuifilisi nchi. Ninashawishika kuamini kuwa hata kama utamweka JPM kama mfumo ni huu huu wa kuwa na imperial president hakuna jambo la maana atakalofanya zaidi ya kujitwalia chake mapema. JPM katika mfumo wetu wa sasa hana tofauti na Benjamin William Mkapa.

Katika mfumo wa sasa nadhani JPM anaweza kuwa mtendaji mzuri akiwa waziri mkuu na apewe mamlaka kamili ya kuwasimamia na kuwawajibisha mawaziri wote.
Yote uliyosema yametimia
 
tracebongo

tracebongo

Senior Member
Joined
Nov 18, 2018
Messages
171
Likes
162
Points
60
tracebongo

tracebongo

Senior Member
Joined Nov 18, 2018
171 162 60
Muanzishaji wa huu uzi alitukosea sn Watanganyika.
 
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Messages
2,335
Likes
1,687
Points
280
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined May 15, 2018
2,335 1,687 280
Najua JPM ni mchapakazi mzuri zaidi ya mawaziri wengine wengi kama siyo wote, ni mfuatiliaji mzuri
Tatizo langu na huyu jamaa ni moja tu si msikilizaji mzuri na anaweza kuwa "dictator" mzuri sana hasa pale mitazamo na misimamo yake itakapokuwa kinyume na maslahi ya nchi - refer uuzwaji wa nyumba na ubadilishwaji wa ramani ya barabara kuu kupitia wilayani kwao. Wakati wa uuzwaji wa nyuma za serikali JPM alikuwa na majibu ya kejeli - Ni aina ya mtu ambaye anapenda kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja pale anapokabiliwa na wapinzani makini wanaohoji busara za maamuzi na matamshi yake.
Mkuu hii komenti yako ya 2009 uliona mbali sana... Na haya ndio yanatokea now
 
M

mauricegama

Member
Joined
Nov 21, 2011
Messages
12
Likes
0
Points
3
M

mauricegama

Member
Joined Nov 21, 2011
12 0 3
77
Mimi nazani Dr Slaa anafaa sana hakuna ubishi ndie kiongozi thabiti sana. Lowasa bado hajasafishika....magufuri kama wachangiaji wengine walivyosema ......vijipasenti! barabara kila siku ukarabati
332de38u728ge3qr43g2gy9udwyye2xquqtq2aiiì7
 
Dream big

Dream big

Member
Joined
Jun 18, 2014
Messages
68
Likes
3
Points
15
Dream big

Dream big

Member
Joined Jun 18, 2014
68 3 15
Najua JPM ni mchapakazi mzuri zaidi ya mawaziri wengine wengi kama siyo wote, ni mfuatiliaji mzuri wa watu wa chini yake, ana uwezo wa kujieleza, kujenga hoja na kizisimamia hata pale hoja hizo zinapokuwa na upinzani wa dhahiri - mfano ni uuzwaji wa nyumba za serikali.

Tatizo langu na huyu jamaa ni moja tu si msikilizaji mzuri na anaweza kuwa "dictator" mzuri sana hasa pale mitazamo na misimamo yake itakapokuwa kinyume na maslahi ya nchi - refer uuzwaji wa nyumba na ubadilishwaji wa ramani ya barabara kuu kupitia wilayani kwao. Wakati wa uuzwaji wa nyuma za serikali JPM alikuwa na majibu ya kejeli - kama ya bosi wake Mkapa - kwa wale wote waliokuwa wanahoji busara ya zoezi lile. Ni aina ya mtu ambaye anapenda kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja pale anapokabiliwa na wapinzani makini wanaohoji busara za maamuzi na matamshi yake.

Tatizo letu Tanzania ni la kimfumo zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Tuna mfumo ambao hauna vidhibiti mwendo kwa kiongozi mkuu kabisa wa nchi na wateule wake hasa pale wanapoamua kushirikiana kuifilisi nchi. Ninashawishika kuamini kuwa hata kama utamweka JPM kama mfumo ni huu huu wa kuwa na imperial president hakuna jambo la maana atakalofanya zaidi ya kujitwalia chake mapema. JPM katika mfumo wetu wa sasa hana tofauti na Benjamin William Mkapa.

Katika mfumo wa sasa nadhani JPM anaweza kuwa mtendaji mzuri akiwa waziri mkuu na apewe mamlaka kamili ya kuwasimamia na kuwawajibisha mawaziri wote.
Mmh uliona mbali sana wewe ndugu
 
Forum statistics

Threads 1,263,021
Members 485,781
Posts 30,139,145