Mheshimiwa JK vipi hali ya Afya? Wapi Kitambi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa JK vipi hali ya Afya? Wapi Kitambi ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lu-ma-ga, Oct 8, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Duh! Jamaa kachakaa ile mbaya. Mpaka kampeni ziishe atabaki mfupa tu.
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  sasa matoke ya uchaguzi yatamfanya apukutike baada ya slaa kutangazwa mshindi mmmmh kazi ipo
   
 4. b

  buckreef JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kitambi ndio afya?
   
 5. h

  housta Senior Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo ukiwa na kitambi ndio haujachakaa au?Kweli watu tuna mitazamo tofauti.Inasikitisha!
   
 6. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kwa Tanzania ndivyo. Maana waheshimiwa baba, mama na mwana wanavitambi na ndio wanawakilisha afya bora za Watanzania
   
 7. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mvi kibao ndani ya siku kadhaa tu, nywele hajachana, uso umepauka kama sox za mchawi, cheek bones nje nje, wrinkles kwa sana, smile fake,sunken eye sockets kama skull na mabega yameanza kupanda juu.
  mna macho lakini hamuoni!
  Nyambafu.
   
 8. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi hapo kiunoni palipojikunja pana nini?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Atakuwa kajifunga hirizi alizopewa na sheikh yahaya
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,555
  Likes Received: 415,719
  Trophy Points: 280
  Mvi anazo kibao ila anapaka kanta ili aonekane bado wamo na anavuma. Kitambi kimefungwa na mkanda maalumu wa kazi hiyo ili aonekane hana tamaa ya lishe kama ya kaka yake Ben Mkapa
   
 11. M

  Mundu JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Jamaa amechoka kwakweli, sio siri. Na bado, watakapomtangazia matokeo:
  "Tunaanza na waliopata chache... halafu yeye anakuwa wapili kutoka juu". Kazi anayo mwaka huu.
   
 12. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hata kipara anaoneka healthy zake ya mgombea
   
 13. J

  Jmpambije Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duh! Hii Imeniacha Hoi
   
Loading...