Mheshimiwa Dr. Reverend.

akashube

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
401
170
S.Ngonyani au Profesa Maji Marefu sasa ni Mbunge kwa kupitia jimbo la Korogwe vijijini. Hivyo huenda ataitwa Mheshimiwa Profesa Maji Marefu. Wapambe wa Jakaya Kikwete hawatafurahishwa na hilo. Kwa hiyo Mheshimiwa Dakta Kikwete itakosa nguvu.

Baada ya wachungaji wengi kuchaguliwa majimboni kuwa wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Bunge litakuwa na watu wengi wenye majina ya Mheshimiwa Reverend .....na itavuma sana.

Baada ya jina hilo kuvuma sana na kuonekana la heshima, tusishangae tukisikia jamaa wa Ikulu wanamtaja mkuu wa nchi kama Mheshimiwa Dr. Reverend Jakaya Mrisho Kikwete, ili amfunike mheshimiwa profesa maji marefu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom