Mheshimiwa bernard k. Membe, tunaomba balozi zote za marekani katika bara letu la afrika zifungwe

Sabi Sanda

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
409
31
Na BUNGE LETU LISIKUTANE DODOMA MPAKA OMBI HILI LIMETEKELEZWA.

Naitwa Josephat Simon Sanda na Ninapatikana kwa Simu namba 0659 28 19 64.

NIKO MLIMANI CITY KWA SASA NA NINAISHI KEREGE KWA KIWETE WILAYA YA BAGAMOYO. KWANGU PANAITWA KWA SANDA.

---------------------------------------------------------------------------------------

PIA TUNAOMBA VIONGOZI WOTE WA AFRIKA MKUTANE BULAWAYO AU VICTORIA FALLS KESHO MCHANA NA KUTOA TAMKO LA AFRIKA KUHUSU OMBI HILI MAALUMU.

-----
MUNGU WA ISAKA IBRAHIM NA YAKOBO AWABARIKI SANA-----0659 28 19 64
 
Mod.................. hivi mtu anapataje cheo cha JF Premium Member!! Just asking??

kwani hujui hapa ukishabikia siasa fulani unakuwa Senior member na hiyo primiamu? Mimi najiondokea hamna kitu hapa aje Mbopo aka mwambene maana ndiye mwenye usongo na kila jambo la Membe hata kama halina msingi....Mboooopo upoooo?
 
Ya leo kali, weka nusuuuuuuuuuuu!!!

yaani membe afunge balozio za markani afirika nzima? uwiiii!

yeye ni nani?

kwa nza kwa nnini zifungwe?
 
Mod.................. hivi mtu anapataje cheo cha JF Premium Member!! Just asking??

Mimi hili ndio swali ninalojiuliza kila siku, ningependa Invisible atujibu, maana najuwa wanaziona post zote, ndio maana ukifanya kosa wanakupa ban, please Invisible tunaomba utujibu hili swali, mimi binafsi linanisumbuwa kwa muda mrefu.
 
Na BUNGE LETU LISIKUTANE DODOMA MPAKA OMBI HILI LIMETEKELEZWA.

Naitwa Josephat Simon Sanda na Ninapatikana kwa Simu namba 0659 28 19 64.

NIKO MLIMANI CITY KWA SASA NA NINAISHI KEREGE KWA KIWETE WILAYA YA BAGAMOYO. KWANGU PANAITWA KWA SANDA.

---------------------------------------------------------------------------------------

PIA TUNAOMBA VIONGOZI WOTE WA AFRIKA MKUTANE BULAWAYO AU VICTORIA FALLS KESHO MCHANA NA KUTOA TAMKO LA AFRIKA KUHUSU OMBI HILI MAALUMU.

-----
MUNGU WA ISAKA IBRAHIM NA YAKOBO AWABARIKI SANA-----0659 28 19 64

im i dreaming or some of jf members wamechananyikiwa? tuzifunge kwa sababu gani
 
Back
Top Bottom