Mhere Mwita wadanganye ambao hawaijui vizuri Geita. Hakuna CCM aliyehamia CHADEMA

AUGUSTINO CHIWINGA

Verified Member
Apr 23, 2017
214
1,000
25fb29f2d7e2ce3539f71c41ad6a8582.jpg
Katika picha namuona Mwenyekiti wa huo mtaa lakini pia upo wewe uliyevaa kombert jeusi, na pia namuona Deo Mwenyekiti BAVICHA jimbo pia namuona mzee Nyuk, namuona pia Katibu BAVICHA jimbo na wengine wengi ambao ni viongozi CHADEMA jimbo na wilaya ya Geita.

%75 katika picha ni viongoz wa CHADEMA inamaana hawa wote wametoka CCM? Unatengeneza story kwa kudanganya.

Sehemu ya kwanza uliyodanganya yaani kioja namba moja ni kusema kwamba wanachama wa CCM 60 wamejiunga na CHADEMA. Nawaza kwa sauti kubwa, mbona sizioni cards za CCM walizokukabizi?

Yaani mnajitekenya wenyewe, mnacheka wenyewe kioja namba 2 mbona katika picha wanaonekana akina mama watano na kina baba wawili jumra 7 waliyoshikilia card za CHADEMA hali yakuwa umesema wewe kuwa umewakabizi watu 60?

Hao wengine umewapeleka wapi? Najuwa utasema nafasi ya picha ilikuwa ni ndogo, nimefatilia picha zote ulizounganisha zote zinafanana watu ni wale wale.

Mnajitekenya wenyewe, mnacheka wenyewe.

Upinzani wa TANZANIA umeishiwa hoja, kilichobakia sasa ni ku edit picha na kutunga story.* Kibaya zaidi katika hii story umewakana viongozi wote liokuwa nao Nyantorontoro, umejitaja wewe na Amos.

Hawa wengine umewaunganisha kwenye group la watu 60.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,756
2,000
25fb29f2d7e2ce3539f71c41ad6a8582.jpg
Katika picha namuona mwenyekiti wa huo mtaa..lakin pia upo wewe uliyevaa kombert jeus, na pia namuona Deo mwenyekt bavicha jimbo pia namuona mze nyuk, namuona pia katibu bavicha jimbo, Na wengine wengi ambao ni viongoz cdm jimbo na wilaya ya geita..

%75 katika picha ni viongoz wa cdm
Inamaana hawa wote wametoka ccm? Unatengeneza story kwa kudanganya..

Sehem ya kwanza uliyodanganya yaani kioja namba moja ....
ni kusema kwamba wanachama wa ccm 60 wamejiunga na chadem...
Nawaza kwa sauti kubwa, Mbona sizioni cards za CCM walizokukabizi?

Yaani mnajitekenya wenyewe, mnacheka wenyewe

Kioja namba 2 Mbona katika picha wanaonekana Akina mama watano na kina baba wawili jumra 7 waliyoshikilia Card za cdm Hali yakuwa umesema wewe kuwa umewakabiz watu 60?
hao wengine umewapeleka wapi?
Najuwa utasema nafas ya picha ilikuwa ni ndogo, nimefatilia picha zote ulizounganisha
zote zinafanana watu ni wale wale.

Mnajitekenya wenyewe, mnacheka wenyewe

Upinzan wa TANZANIA umeishiwa Hoja, kilichobakia sasa ni Ku Edit picha na kutunga story..*
Kibaya zaid katika hii Story umewakana viongozu wote liokuwa nao nyantorontoro , umejitaja wewe na Amos..
Hawa wengine umewaunganisha kwenye group LA watu 60.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tumekusikia ni chadema tu ndiyo wanahamia ccm
 
Kps chad

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
539
1,000
Hahaaaaaa kumbe bado inawaumaeeee.., Hamkubaliki kbs ninyi gambas..... Juzi kijiji cha Nassa Gineery wilaya Busega mkoa wa Simiyu karibu kijiji kizima kimetimukia Chadema... Hatukutaka kutangaza. Sasa kwasababu mmeonyesha mnaumia, tutakuwa tunazileta humu.... Maana tulikuwa tumeamua kuwa mwanachama akijiunga tusitangaze lkn sasa tutaanza kuweka wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,082
2,000
asee namna ulivyoandika hapana shaka kabisa kwamba pande hizo unazijua vizuri.
 
sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
8,706
2,000
25fb29f2d7e2ce3539f71c41ad6a8582.jpg
Katika picha namuona Mwenyekiti wa huo mtaa lakini pia upo wewe uliyevaa kombert jeusi, na pia namuona Deo Mwenyekiti BAVICHA jimbo pia namuona mzee Nyuk, namuona pia Katibu BAVICHA jimbo na wengine wengi ambao ni viongozi CHADEMA jimbo na wilaya ya Geita.

%75 katika picha ni viongoz wa CHADEMA inamaana hawa wote wametoka CCM? Unatengeneza story kwa kudanganya.

Sehemu ya kwanza uliyodanganya yaani kioja namba moja ni kusema kwamba wanachama wa CCM 60 wamejiunga na CHADEMA. Nawaza kwa sauti kubwa, mbona sizioni cards za CCM walizokukabizi?

Yaani mnajitekenya wenyewe, mnacheka wenyewe kioja namba 2 mbona katika picha wanaonekana akina mama watano na kina baba wawili jumra 7 waliyoshikilia card za CHADEMA hali yakuwa umesema wewe kuwa umewakabizi watu 60?

Hao wengine umewapeleka wapi? Najuwa utasema nafasi ya picha ilikuwa ni ndogo, nimefatilia picha zote ulizounganisha zote zinafanana watu ni wale wale.

Mnajitekenya wenyewe, mnacheka wenyewe.

Upinzani wa TANZANIA umeishiwa hoja, kilichobakia sasa ni ku edit picha na kutunga story.* Kibaya zaidi katika hii story umewakana viongozi wote liokuwa nao Nyantorontoro, umejitaja wewe na Amos.

Hawa wengine umewaunganisha kwenye group la watu 60.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia dawa ikuingie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom