Mhere mwita atangaza nia ya kugombea ubunge JImbo la Geita kwa tiketi ya chadema

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Kamanda Mhere Mwita ameyatoa hayo alipokuwa akihutubia mkutano mkubwa wa kukijenga chama katika jumbo la Nachingwea aliyaongea kwa uchungu mkubwa alisema "kutokana na matatizo ya Nachingwea kushabiliana na Matatizo ya Geita sasa yanipasa niende kukomboa nyumbani Geita"

Akiendelea kueleza njinsi wananchi wa Nachingwea wanavyopata aza kubwa katika zao la korosho lakini serikali imekuwa ikiwapangia bei ya kuuzia amesema vivyo hivyo wananchi wa Geita wanavyopata wanavyo pangiwa bei ya pamba alisema "Ndugu wananchi wa Nachingwea mnamatizo pacha na Jimboni kwangu Geita kwa hilo basi yatupasa tupaze sauti zetu zote kwa sababu sauti ya wanyonge ni sauti ya Mungu ilimradi mmeshamjua adui wenu ni serikali ya CCM mwaka 2015 muiambie byee byee chademaaaa"

Kamanda Mwita aliweza kupokea wanachama wapya 40 kutoka chama CCM na CUF baadhi Yao wakisema wamechoshwa na unyonywaji uofanywa na CCM pamoja na CUF kukosa mvuto mbele ya watanzania.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom