Mhere mwita atagombea jimbo la Geita kwa chama cha Chadema

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Kutokana kwa matatzo ambayo yanatokea sasa hv Geita kama watu kupigwa kudhalilishwa na kuwawa na askali wa Mgodi kumemuuma sana kijana huyu wa wa Geita mhere mwita atagombea ubunge katika jumbo anaomba kuungwa mkono
 

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
1,195
Funguka vizuri mkuu ili tukufahamu vizuri hayo ni maeneo yetu ya kujidai,hapo ndipo tumewekeza sisi,ndipo kuna ugalimwetu na kahawa ya kika siku pamoja na kwamba tunaishi maeneo mengine,ila haipiti hata wiki moja hatujaingia Geita wakati mwingine tunaingia asubuhi na kutoka jioni ama usiku kila siku.

Sasa weka kwanza cv yako hapa halafu tujue na mengine,Geita kweli ina kika kitu na watu pia wa kutosha na wanaojiweza ila haijapata mtu wa kiongozi wa kuwaunganisha.
 

lukatony

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
637
500
Mtu ata kuandika vizuri hujui unawaza ubunge!!!watu waliopita kiajabu kama wakina Nassari wamefanya ubunge kuonekana upuuzi,nenda kafundishe kwanza kituo chako cha kazi ulichopangiwa ndo uanze kuwaza ubunge
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom