fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,724
- 2,627
Wakuu jana ilikua ni siku ya kizaliwa ya msanii kutoka kundi lililofahamika kama TMK 'Amani Temba' maarufu kama Mh Temba,katika kuufahamisha umma kuhusu siku yake hiyo pendwa alisikika kwenye redio kubwa hapa nchini akisema kwamba "hata nikiwa jeshini nilipenda muziki".
Ningependa kufahamu je alikua JWTZ au JKT, mwenye historia yake kidogo anaweza share nasi wa mikoani.
Ningependa kufahamu je alikua JWTZ au JKT, mwenye historia yake kidogo anaweza share nasi wa mikoani.