Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Yalaaaaaaa, duniani kuna mambo. Kweli wahenga walinena "kua uyaone".
 
Mkuu Nyani Ngabu

una akili sana maana mpaka sasa hizo hazina msaada wowote kwa Taifa changa kama hili.

Aaah hebu wacha kunisanifu bana. Niwe na akili mimi? Wenye akili wamesoma spesho skuls na kwenda UDSM. Mi kiazi nilikimbilia majuu kubeba boksi baada ya kufeli kila steji ya elimu niliyobahatika kuifikia.

Kwenye pantheon ya wenye akili bongo hata namba ya mwisho sikamati.
 
Majuzi nimeshangaa sana kusikia Mengi naye siku hizi ni Dr. Sasa hii ya Dr. Joseph Mbilinyi aka Sugu naipiga picha lakini wapi, flash imegoma.

Heck kwa nini na wewe usijiite Dr. The Boss?

Nchimbi siku nyiingi anajiita Dr
hana PHD wala ya heshima hajawahi kupewa
Dialo aliwahi kuwasilisha Cv ikisema amesoma Harvard na akapewa uwaziri lol

hii nchi ni full comedy
 
Aaah hebu wacha kunisanifu bana. Niwe na akili mimi? Wenye akili wamesoma spesho skuls na kwenda UDSM. Mi kiazi nilikimbilia majuu kubeba boksi baada ya kufeli kila steji ya elimu niliyobahatika kuifikia.

Kwenye pantheon ya wenye akili bongo hata namba ya mwisho sikamati.

Mkuu Nyani Ngabu

Maisha haya ni kama usemavyo huwezi kushindwa kila upande ndiyo maana box kwa sasa zimekufanya uwe na jambo zuri katika maisha. Sasa hizi Elimu zetu za hapa zinaididimiza hii nchi haraka.
 
Hapo kila kitu kaandaa yeye mpaka hiyo kutunukiwa hawa ndio wanasiasa wetu,
Haina haja yakukaa darasani sasa PhD zimejaa mitaani tu
 
Back
Top Bottom