mnhhhhhhhhh only in Tanzania...
Unashangaa nini Bossman? Kwani bongo kuna tofauti yoyote kati ya wenye PhD na ambao hawana?
Unashangaa nini Bossman? Kwani bongo kuna tofauti yoyote kati ya wenye PhD na ambao hawana?
Unashangaa nini Bossman? Kwani bongo kuna tofauti yoyote kati ya wenye PhD na ambao hawana?
Dah mbona wanakatisha tamaa waliozipata kwa kusoma.
Hadi hii Nchi yetu iendelee kazi kweli
Duh phd ya kupgana bungen au ya nn
Mkuu Nyani Ngabu
una akili sana maana mpaka sasa hizo hazina msaada wowote kwa Taifa changa kama hili.
Unajua hata Muhamad Ally anayo PHD ya heshima
lakini hutasikia akiitwa Dokta...
tatizo bongo wotee wanajiita madokta
Majuzi nimeshangaa sana kusikia Mengi naye siku hizi ni Dr. Sasa hii ya Dr. Joseph Mbilinyi aka Sugu naipiga picha lakini wapi, flash imegoma.
Heck kwa nini na wewe usijiite Dr. The Boss?
Aaah hebu wacha kunisanifu bana. Niwe na akili mimi? Wenye akili wamesoma spesho skuls na kwenda UDSM. Mi kiazi nilikimbilia majuu kubeba boksi baada ya kufeli kila steji ya elimu niliyobahatika kuifikia.
Kwenye pantheon ya wenye akili bongo hata namba ya mwisho sikamati.