Mhe. Salome Makamba kuipatia Hospitali ya Kahama computer Za kisasa

Dec 27, 2015
35
21
Mbunge wa viti maalum mkoa wa shinyanga Mhe. Salome Makamba (chadema) jana tar 25th july 2017 alifanya ziara ya kutembelea hospitali ya wilaya ya kahama katika kutimiza majukumu yake ya kibunge.

Mhe Salome aliambatana na kamati tendaji ya wilaya pamoja na mjumbe wa baraza kuu la chadema taifa.

Katika ziara hiyo Mhe Salome Makamba alizungumzia upungufu wa vifaa muhimu katika hospitali hiyo kama gari la kubebea wagonjwa, majokofu ya kuifadhia miili ya marehemu pamoja
changamoto nyingine.

Aidha Mhe Salome aliahidi kuipatia hospitali hiyo computer za kisasa ili kuboresha uandikishaji wa wagonjwa mapokezi,pia aliahidi kuyashughulikia mapungufu ya hospitali hiyo kadri ya uwezo wake ili kuboresha utendaji wa hospitali hiyo.

View attachment 550833

View attachment 550835

View attachment 550834

View attachment 550836

Kwa wasio mfahamu huyu ndiye Mhe Salome Makamba

 
Back
Top Bottom