Mhe Rwakatare ametunukiwa PHD feki na chuo kinachomilikiwa na familia

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,891
382
Mchungaji getrude rwakatare ametajwa kuwa ametunukiwa phd na dr john chacha na mkewe wote wakiwa raia wa kenya wanaishi marekani na kumiliki chuo faki
source -kiu ya leo
 
Ni kwa nini wabunge wengi wa ccm wana tuhuma za kughushi vyeti vya kuzaliwa lakini serikali inanyamaza kimiya na kuwapa uwaziri?
Tunapo kwenda kwenye soko la pamoja la ea ni aibu !!
 
Mchungaji getrude rwakatare ametajwa kuwa ametunukiwa phd na dr john chacha na mkewe wote wakiwa raia wa kenya wanaishi marekani na kumiliki chuo faki
source -kiu ya leo

Hapo kwenye RED ndio umeharibu, wana JF akuna atakaekuelewa kuleta habari jamvini kwa source za udaku, ni afadhali ungeandika kwamba source ni wewe mwenyewe hii thread ingeeshimika kidogo, lakini wewe subiri utajionea mwenyewe, utaona unaandikiwa crap.
 
Mchungaji getrude rwakatare ametajwa kuwa ametunukiwa phd na dr john chacha na mkewe wote wakiwa raia wa kenya wanaishi marekani na kumiliki chuo faki
source -kiu ya leo

Mmm,hii imekaaje?Uandishi wenyewe hovyo hovyo,source yenyewe ya udaku.
 
Kiu?!? Wamiliki wa karatasi ilo si wana ugomvi na uyo mama? Ivyo sishangai.
 
QUOTE=mwamakula;Ni kwa nini wabunge wengi wa ccm wana tuhuma za kughushi vyeti vya kuzaliwa lakini serikali inanyamaza kimya na kuwapa uwaziri?

Duh! Ebu tujuze zaidi. Kina nani hao? Mwaga mtama mkuu. Husiogope.
 
Inabidi kuwe na jinsi ya kutofautisha PhD feki na zile za kweli. Lakini hilo gazeti lako halina uhakika sana na halisomwi na great thinkers. Ngoja nimpigie mama Rwakatare kuthibitisha and will come back
 
Mchungaji getrude rwakatare ametajwa kuwa ametunukiwa phd na dr john chacha na mkewe wote wakiwa raia wa kenya wanaishi marekani na kumiliki chuo faki
source -kiu ya leo

Usituletee habari za udaku hapa. Kama huna cha kuandika, tulia. Hupotezi chochote.
 
Ni kwa nini wabunge wengi wa ccm wana tuhuma za kughushi vyeti vya kuzaliwa lakini serikali inanyamaza kimiya na kuwapa uwaziri?
Tunapo kwenda kwenye soko la pamoja la ea ni aibu !!

Hii ndo imesababisha aende kulia bungeni?
 
halafu nilishangaa siku moja kwenye tv eti kawaleta wazungu wawili kanisani kwake na kumtunukia MARY MWANJELWA PhD kanisani kwake......sikuwahi kupata kuona kama hii.....
 
Nafikiri wa JF inabidi mbadili mtazamo. Ni vizuri sana kujadili hoja na sio kumjadili mtu.

Punguzeni Jazba na kujadili hoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom