<br />Ukitaka siasa uchwara, majungu, umbeya, fitina na ushabiki usio makinini nenda CCM na ukitaka siasa nenda CHADEMA
Mimi nimemuelewa kasema "Ukitaka siasa uchwara, majungu, umbeya, fitina na ushabiki usio makini nenda CCM na ukitaka siasa nenda CHADEMA" kitu gani hakieleweki.Cjakuelewa heading na post tofaut k fafanua
<br />Ukitaka siasa uchwara, majungu, umbeya, fitina na ushabiki usio makinini nenda CCM na ukitaka siasa nenda CHADEMA
<br />ukitaka siasa za ubaguzi,udini nenda Chadema hata uzazi wa mpango hawajui babu slaa hana hata haya na kitoto chake kichanga wengine ndo kabisa mabachela.