Mhe. Rais, tunakukumbusha hili kabla hujaondoka Arusha

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,320
18,838
Kwa kuwa kiongozi wetu mkuu wa nchi upo hapo Arusha..........tungeomba usiondoke bila kushughulikia hili swala......
Kadri siku zinavyozidi kwenda.......hili jipu linazidi kuiva........na kwa sababu una shughuli nyingi.....tumeonelea tukukumbushekumbushe ili usijeondoka bila kulitia sindano.........
Ni hilo tu mheshimiwa.......
image.jpg
 
Fazal Ni jipu la muda mrefu Sana linaelekea kuwa kensa...na Ngoyai angepita uraisi hali ingekuwa worse zaidi. Magufuli tumbua huyo hapana chekea yeye...
 
Kweli hali ingekuwa mbaya sana kwa ni yeye anayempa kichwa. Yaani nashangaa sana kuwa na mtu mmoja tu mwenye nguvu kama serikali nzima ya Tanzania! Lazima atumbuliwe.
 
Hii ngoma ya leopard ni ya kizaramo haichezeki hivi na wasio wa pwani kigodoro na mchaga wapi na wapi ? ,ngoja tuone mwisho wake
 
Kwa kuwa kiongozi wetu mkuu wa nchi upo hapo Arusha..........tungeomba usiondoke bila kushughulikia hili swala......
Kadri siku zinavyozidi kwenda.......hili jipu linazidi kuiva........na kwa sababu una shughuli nyingi.....tumeonelea tukukumbushekumbushe ili usijeondoka bila kulitia sindano.........
Ni hilo tu mheshimiwa.......
Huko Arusha mmeshamkubali Mh. J.P Magufuli kuwa ni Rais wa Tanzania !!??
 
Back
Top Bottom