Mhe. Rais, suala la ng'ombe zaidi ya 600 kufia zizini, ndilo linahitaji wahusika wawajibishwe kwa uzembe

natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,150
Likes
9,802
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,150 9,802 280
Wakuu nimeona taarifa ITV ikionesha idadi kubwa ya ng'ombe waliokamatwa na watumishi wa hifadhi za taifa huko Rukwa, hali inasikitisha sana, wahusika wameonesha uzembe wa hali ya juu, wanashuhudia mifugo ikikosa huduma mpaka inafia zizini, wanaendelea kuongeza mifugo mingine mipya kwenye zizi lenye mizoga!

Wanaendelea kulinda mifugo ambayo hata kutembea haiwezi kwa sababu ya njaa.

Suala hili halipaswi kuachwa hivi hivi, kama tuliweza kupaza sauti kuhusu suala la vifaranga vilivyoteketezwa Arusha basi hili ni baya zaidi kuliko la Arusha kwa maana lile la Arusha wahusika walijibu kwamba ni sheria zipo na zinaruhusu kitu hicho. Japo kwa moyo wa kibinadamu ilitia huzuni sana.

Watumishi wa hifadhi wapo wamenenepa kabisa na afya zao safi eti wanalinda mifugo iliyokufa na mingine inaendelea kufa.

Sikatai wananchi waliingia maeneo ya hifadhi lakini kwanini hao ng'ombe wasingeendelea kupatiwa huduma? Au wangeuzwa kwa taratibu zilizopo.

Waziri kaamua mifugo irudishwe kwa wamiliki, sasa vipi kuhusu hiyo hasara? Je wizara au nchi imefaidika vipi kwa kushikiria hiyo mifugo kwa zaidi ya mwaka mzima? Mwananchi kapata hasara zaidi, serikali imemtia hasara mwananchi.

Ninachoweza kusema ni kwamba hawa watumishi wa hifadhi ni watu wanastahili kuwajibishwa, siwaombei mabaya ila hawa walitakiwa wafukuzwe kazi na taratibu ziangaliwe ili kufikishwa mahakamani kwa kuiingizia hasara serikali na wananchi wake.

Tuachane na wale wakurugenzi walioshindwa kujua takwimu, hawa wahifadhi wanastahili ile adhabu ya kupumzishwa na kusubiri kupangiwa kazi nyingine na wakati huo wakisubiri kupangiwa kazi nyingine basi wangeendelea kujibu kesi zao mahakamani. Huu ni uzembe wa hali ya juu.

tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
5,182
Likes
4,005
Points
280
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
5,182 4,005 280
img_20171107_211103-jpg.626318

Hapa ndipo huwa sielewi maamuzi ya baadhi ya Viongozi

Sasa unakamata mifugo zaidi 700 na wanakufa mikononi mwa hizo mamlaka.

Hivi hiyo hasara nani analipa?

Kwanini kusiwe na mechanism nzuri ya kutunza hao mifugo wakati shauri lao linasikilizwa?

Hongera Waziri wa Mifugo Mh Mpina kwa kuhusu mifugo wengine 600 kwa kuwarudisha kwa wamiliki yaani wanainchi.
 
GoPPiii.

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Messages
1,382
Likes
2,035
Points
280
GoPPiii.

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2014
1,382 2,035 280
Walijua hao ng'ombe watakula hewa na mwanga wa jua...

Mambo ya ajabu kabisa.
 
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
3,853
Likes
1,394
Points
280
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
3,853 1,394 280
View attachment 626318
Hapa ndipo huwa sielewi maamuzi ya baadhi ya Viongozi

Sasa unakamata mifugo zaidi 700 na wanakufa mikononi mwa hizo mamlaka.

Hivi hiyo hasara nani analipa?

Kwanini kusiwe na mechanism nzuri ya kutunza hao mifugo wakati shauri lao linasikilizwa?

Hongera Waziri wa Mifugo Mh Mpina kwa kuhusu mifugo wengine 600 kwa kuwarudisha kwa wamiliki yaani wanainchi.
Please Ebu futa hongera yako huyo jamaa ndio mwenye hiyo amri na anajiona roho mbaya kuliko boss wake.
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,666
Likes
2,739
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,666 2,739 280
Nimecheka eti watumishi wa hifadhi wapo wamenenepa na afya zao nzuri. Masimango kila upande jamani. Wanatekeleza amri bwana
 
Mingoi

Mingoi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
10,983
Likes
2,830
Points
280
Mingoi

Mingoi

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2012
10,983 2,830 280
Wakuu nimeona taarifa ITV ikionesha idadi kubwa ya ng'ombe waliokamatwa na watumishi wa hifadhi za taifa huko Rukwa, hali inasikitisha sana, wahusika wameonesha uzembe wa hali ya juu, wanashuhudia mifugo ikikosa huduma mpaka inafia zizini, wanaendelea kuongeza mifugo mingine mipya kwenye zizi lenye mizoga!

Wanaendelea kulinda mifugo ambayo hata kutembea haiwezi kwa sababu ya njaa.

Suala hili halipaswi kuachwa hivi hivi, kama tuliweza kupaza sauti kuhusu suala la vifaranga vilivyoteketezwa Arusha basi hili ni baya zaidi kuliko la Arusha kwa maana lile la Arusha wahusika walijibu kwamba ni sheria zipo na zinaruhusu kitu hicho. Japo kwa moyo wa kibinadamu ilitia huzuni sana.

Watumishi wa hifadhi wapo wamenenepa kabisa na afya zao safi eti wanalinda mifugo iliyokufa na mingine inaendelea kufa.

Sikatai wananchi waliingia maeneo ya hifadhi lakini kwanini hao ng'ombe wasingeendelea kupatiwa huduma? Au wangeuzwa kwa taratibu zilizopo.

Waziri kaamua mifugo irudishwe kwa wamiliki, sasa vipi kuhusu hiyo hasara? Je wizara au nchi imefaidika vipi kwa kushikiria hiyo mifugo kwa zaidi ya mwaka mzima? Mwananchi kapata hasara zaidi, serikali imemtia hasara mwananchi.

Ninachoweza kusema ni kwamba hawa watumishi wa hifadhi ni watu wanastahili kuwajibishwa, siwaombei mabaya ila hawa walitakiwa wafukuzwe kazi na taratibu ziangaliwe ili kufikishwa mahakamani kwa kuiingizia hasara serikali na wananchi wake.

Tuachane na wale wakurugenzi walioshindwa kujua takwimu, hawa wahifadhi wanastahili ile adhabu ya kupumzishwa na kusubiri kupangiwa kazi nyingine na wakati huo wakisubiri kupangiwa kazi nyingine basi wangeendelea kujibu kesi zao mahakamani. Huu ni uzembe wa hali ya juu.

Kwani wanatofauti gani na vile viranga vilivyochomwa moto?
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
4,477
Likes
7,410
Points
280
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
4,477 7,410 280
Tanzania ni nchi ya maajabu sana hii. Wafugaji was nchi hii ni kama wakimbizi wasio na mtetezi. Amini amini nawaambia, baada ya miaka 5 kuanzia sasa nchi hii nitakuwa haina mfugaji hata mmoja. Nyqma tutakula ya kutoka nje.

Hakuna utaratibu wala ulinzi wowote ktk shughuli ya ufugaji
 
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
4,812
Likes
8,380
Points
280
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
4,812 8,380 280
Usishangae hao watumishi wakipongezwa na kupandishwa cheo na yule mungu-mtu wa Tz. Yule jamaa ndio huwa anapenda sana watumishi wasiotumia Akili, wasiokuwa na huruma na wanaopokea maelekezo kutoka juu na kutekeleza pasipo kufikiri. Na inadaiwa huwa hapendi kabisa wafugaji.

Hao watumishi watakwambia waliambiwa wakamate tu mifugo na kuilinda ili isije ikaibiwa ikiwa mikononi mwa serikali, kuwatunza sio kazi yao na hawakutumwa kuwalisha.

Sijui Tz imeingiliwa na ibilisi gani?
 
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
14,745
Likes
2,035
Points
280
Ndahani

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
14,745 2,035 280
Kuna watu hawastahili kuongoza hata kidogo. What the hell is that? Nani kawatuma wafanye hivyo? Sio hujuma?
 
Forum statistics

Threads 1,249,979
Members 481,178
Posts 29,716,561