Mhe. Rais, naomba uzifute hizi taasisi: Mahakama ya Mafisadi na Sekretarieti ya ajira

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Mhe rais magufuli tunaomba uzifute hizi taasisi mbili mahakama ya mafisadi maaana hii mahakama imekoswa kesi na watumishi ambao wanafanya kazi pale wanapokea mishahara ya bure na niwafanyakazi hewa maaana hakuna kesi amabayo ipo kwenye mahakama hiyo ili kubana matumizi futa hiyo taasisi.

Mhe.rais magufuli tunaomba ufute sekretarieti ya ajira maaana hawa pia wanakula mishahara mishahara ya bure toka uingie madarakani mpaka Leo hawajawahi kutangaza nafasi yeyote ya kazi na lengo ni kutangaza ajira kwa watanzania wenye sifa za kuajiriwa Leo hii watumishi wanaofanya kazi kwenye idara hiyo wanakula mishahara ya bure bila kufanya kazi yeyote hivyo kupelekea kuwa watumishi hewa na kuipa hasara serikali hii inayobana matumizi.
 
Kwel aisee zifutwe maana zinaongeza matumizi ya serekali yasiyo ya lazima
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom