MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Mhe rais magufuli tunaomba uzifute hizi taasisi mbili mahakama ya mafisadi maaana hii mahakama imekoswa kesi na watumishi ambao wanafanya kazi pale wanapokea mishahara ya bure na niwafanyakazi hewa maaana hakuna kesi amabayo ipo kwenye mahakama hiyo ili kubana matumizi futa hiyo taasisi.
Mhe.rais magufuli tunaomba ufute sekretarieti ya ajira maaana hawa pia wanakula mishahara mishahara ya bure toka uingie madarakani mpaka Leo hawajawahi kutangaza nafasi yeyote ya kazi na lengo ni kutangaza ajira kwa watanzania wenye sifa za kuajiriwa Leo hii watumishi wanaofanya kazi kwenye idara hiyo wanakula mishahara ya bure bila kufanya kazi yeyote hivyo kupelekea kuwa watumishi hewa na kuipa hasara serikali hii inayobana matumizi.