Mhe Rais Naomba Uwateu wafuatao:-

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
80,774
93,547
Mhe Rais natumai ombi langu utalisikia na kulifanyia kazi, Mhe Rais naomba uwateu wafuatao baada ya kufanya kazi nzuri ya kuua upinzani:-
  1. Zitto Kabwe - Waziri wa Nishati na Madini
  2. Haruna Lipumba - Balozi
  3. Fred Mpendazote - DC- Uyui
  4. Magdalena Sakaya - Naibu Waziri Nishati na Madini
  5. John Shibuda - DC - Singida
  6. Mosesi Machali - DAS - Uyui
  7. John Cheyo - M/kiti wa tume ya uchaguzi
  8. Mgana Msindai - DED - Singida
Mhe Rais watu hawa wamekisaidia sana chama chetu, wafikirie wanateseka sana.
 
Zitto bado ana kazi ya kufanya!
 
Kama Jpm anapita pita humu aniteue mimi nafaa kabisa.Mimi ni zaidi ya KKK.
 
Mhe Rais natumai ombi langu utalisikia na kulifanyia kazi, Mhe Rais naomba uwateu wafuatao baada ya kufanya kazi nzuri ya kuua upinzani:-
  1. Zitto Kabwe - Waziri wa Nishati na Madini
  2. Haruna Lipumba - Balozi
  3. Fred Mpendazote - DC- Uyui
  4. Magdalena Sakaya - Naibu Waziri Nishati na Madini
  5. John Shibuda - DC - Singida
  6. Mosesi Machali - DAS - Uyui
  7. John Cheyo - M/kiti wa tume ya uchaguzi
  8. Mgana Msindai - DED - Singida
Mhe Rais watu hawa wamekisaidia sana chama chetu, wafikirie wanateseka sana.

Umemsahahu Edward Lowasa, Mkuu wa Wilaya ya Hai!
 
Back
Top Bottom