Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,837
- 93,612
Mhe Rais natumai ombi langu utalisikia na kulifanyia kazi, Mhe Rais naomba uwateu wafuatao baada ya kufanya kazi nzuri ya kuua upinzani:-
- Zitto Kabwe - Waziri wa Nishati na Madini
- Haruna Lipumba - Balozi
- Fred Mpendazote - DC- Uyui
- Magdalena Sakaya - Naibu Waziri Nishati na Madini
- John Shibuda - DC - Singida
- Mosesi Machali - DAS - Uyui
- John Cheyo - M/kiti wa tume ya uchaguzi
- Mgana Msindai - DED - Singida