Nimemfuatilia Tundu Lisu ziara zake bara Ulaya na America kiukweli amedhihirisha jinsi alivyo na chuki na rais wetu na serikali yetu ya JMT na watanzania wenye maarifa tunaojitambua.
Sasa nakushauri mheshimiwa rais msamehe sana kwani hajui atendalo mtu huyu si akili yake ni ya kuwehuka.
Msaada pekee mnaoweza kumpa kama atarejea TANZANIA ni matibabu ya afya ya akili haraka.
Mungu amrehemu Tundu Lisu.