Mhe Rais: Mikoa ambayo hajafika kushukuru

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Nakumbuka mikoa Michaele tu ambayo amefika kutoa shukrani za kuchaguliwa kwake mwaka jana kama mkuu wa nchi. Kwa faida ya jf Tusaidieni kutaja kwa ufaham wa wengi;

Hajafika mikoa yote isipokuwa:-

1. Pemba
2. Unguja
3.Geita
4. ARUSHA
5. SINGING
6. DODOMA.

ONGEA MINGI NE INAYPOFAHAMU WEWE
 
Alipohotubia Bunge, taifa hukuwa makini. Aliwadhukuru watanzania wote sasa wewe kama unaishi Rwanda si rahisi kutambua shukurani za rais kwa watanzania
 
NIMEANZISHA UZI HUU MAKUSUD ILI WALE WANAOLALAMIKA SUALA LA UKANDA WATAMBUE KUWA MHE RAIS HAJAFIKA KAGERA, MARA NA SIMIYU TOKA AWE RAIS. SI VEMA KUMLALAMIKIA UKANDA WAKATI MIKOA HII 3 NI YA KANDA YAKE. TUWE WAUNGWANA KIASI.
 
Nawewe mikoa mingapi hujaenda kusalimia ndugu zako au watanzania wenzako?utasema una priorities je na JPM asemeje? Wacha pye pye pye piga kazi
 
Nakumbuka mikoa Michaele tu ambayo amefika kutoa shukrani za kuchaguliwa kwake mwaka jana kama mkuu wa nchi. Kwa faida ya jf Tusaidieni kutaja kwa ufaham wa wengi;

Hajafika mikoa yote isipokuwa:-

1. Pemba
2. Unguja
3.Geita
4. ARUSHA
5. SINGING
6. DODOMA.

ONGEA MINGI NE INAYPOFAHAMU WEWE
Arusha nadhani alienda ile amevaa kijesh. ..labda useme KLM. .....na ni kwa mapenzi yake tu,mradi anatuhudumia bila upendeleo
 
Back
Top Bottom