Mhe Rais, Majipu ya Madini unayatumbua lini? Nani ameyazima haya?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
HIVI MNAJUA HAYO YA SIJUI BANDARI TRA CHA MTOTO KUNA MAJIPU YA MIKATABA YA MADINI HAYA MH ALIAPA KUYATUMBUA GAFLA WAKAANZA KUONEKANA WATU IKULU

MH RAISI TUNAOMBA SAFISHAHII MIKATABAA INAYOUMIZA WAATANZANIA HII NNLAANA KUBWA KWENYE NCHI HATAWALIOSAINI AWATOKAA SANA WATATESEKA NA HILI

TWENDEKOTE KOTEKOTE
 
Suala la maghufuli kutumbua mikataba ya madini hasa ya gesi hilo sahau kwa kuwa chama tawala kinakaa madarakani kwa nguvu wa hao waliopewa mikataba ya gesi, si umeona ulaya na marekani wamekosoa uchaguzi wa znz lakini china makamu wa raisi kapongeza na kuahidi kushirikiana tz kuleta maendeleo
 
Huko kuna meremeta, tanzanite n.k. ambazo zinawahusu wakubwa wengi, utamuingiza magufuli kwenye matatizo
 
Madini na gesi Ni vitu viwili tofauti.Mleta mada ulimaanisha gesi (nishati)?au madini?.Gesi siyo madini.Nipe mfano mmojawapo nitumbue!
 
sasa wewe unataka chama kididimie we unadhani wafadhili wa familia zetu tutapata wapi,...?
 
Madini na gesi Ni vitu viwili tofauti.Mleta mada ulimaanisha gesi (nishati)?au madini?.Gesi siyo madini.Nipe mfano mmojawapo nitumbue!
Wewe mbona unauliza vitu vidogo vidogo sana au hata kichwa chako kidogo hivohivo!? Jamaa ameeleka bwana magufuli tunamsubilia asijafanye eti tumesha sahau ahadi zake na isitoshe huko bado kunashida kubwa kwenye madini na gesi..... Kila kitu kinafanyikia gizani....
 
sasa unataka mfano kwani umejipa makengeza yaliyochanganyikana na upofu
 
Wewe mbona unauliza vitu vidogo vidogo sana au hata kichwa chako kidogo hivohivo!? Jamaa ameeleka bwana magufuli tunamsubilia asijafanye eti tumesha sahau ahadi zake na isitoshe huko bado kunashida kubwa kwenye madini na gesi..... Kila kitu kinafanyikia gizani....

Mkubhi,Asante kwa kunidhiaki lakini wewe nakushukuru umeandika vizuri "Madini na gesi".Moja ya kazi za blog ni kuelimishana.Nilipoona Kichwa cha habari kinasema madini na comments zinaongolea gesi, nikaona kuna tatizo (technically).Mimi ni geologist by professional ni kama dada faizerrfox asivyopenda tusiharibu lugha ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom