Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Huu ni ushauri mdogo tu kwa mhe Rais Magufuli,Najuwa polepole atauona na akikutana na wewe.Atakueleza ushauri huu ili uufanyie kazi kama utaona unafaa.
Mhe.Rais kwanini watu wamkumbuke Jakaya na ameshasihafu?
Mhe.Rais si ni wewe unatakiwa kuwa vichwani mwa watz na sio JK?
Ushauri:Chukua yale machache yanayofanya watanzania wamkumbuke JK safiri nayo.Ukifanya utafiti utayajua mhe.Rais yachukue.
Ukizingatia hilo,Unaongoza hii nchi kama kumpush mlevi.Na 2020 huitaji nguvu.Ukipunga tu mkono.Kura zote kwako.
Lakini Mhe.Rais usipochukua ushauri huu mdogo,2020 Itakubidi tena urudie kupiga push up.Jambo ambalo nisingependa tena kuliona.
Kila kona ya nchi,Afadhali Jakaya.Afadhali JK.Why?Ni hayo tu Mhe rais.