Mhe. Rais KIKWETE

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,363
2,000
Pole na kuumwa na Mungu akujalie upone haraka.
LAKINI, jana katika hotuba yako uliwasifia maprofesa waliokufanyia upasuaji pale JH hospital KWA UBINGWA WAO. Jiulize wewe kama Rais mwenye kauli ya mwisho na uwezo wa kutenda, umewagroom/umefanya juhudi gani kuwa na mabingwa katika nyanja mbali mbali za utabibu) wangapi wawe angalau kama uliowasifia.
TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
 
Nov 29, 2014
55
0
Mh Rais pole na tunashukuru mungu umerejea salaama. Unatuahidi nini wa Tanzania tusiokua na uwezo wa kwenda huko majuu kupata matibabu kama hayo. Na wala hatuoni juhudi zozote za serikali yako. Tunalosikia ni hela zetu kuliwa na watendaji serikali kila siku.Haki ya matibabu ni haki ya kila mwananchi
 

Capital

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,345
2,000
Huyu mfalme ni mbumbumbu wa mwisho, yaani ni juha kuu. Watanzania kwa ulo.fa wao na uwezo wao mdogo, walifuata mkumbo na mihemko ya kijinga, wakampigia kura mtu ambaye kimsingi hakuwa na sifa wala vigezo stahiki kuwa mkuu wa nchi. Huyu jamaa ni kituko, mlafi na mtaka yote. Rejea list of shame, huyu jamaa kila kashfa yumo. Maisha ya watanzania ni mabaya zaidi kama kipindi cha Ruksa, wao wamekomaa na kutuibia, bila kuzalisha mali hata kwa kiwango kidogo. Kuhusu kuandaa kizazi kipya katika kubobea katika nyanja mbali mbali za kitaaluma, hapo tusahau. Jamaa naona ni mwoga sana kufanyisha kazi ubongo wake. Yaani ni mvivu balaaa. Tunajuuuuta kuongozwa na mtu kama JK. Wasi wasi wangu ni kuwa watanzania huwa ni wagumu kujifunza kutokana na makosa, sitashangaa sana ikiwa watu tena watachagua mediocrity kama ya sasa hivi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom